Jamesdominic
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 477
- 643
"Baada ya Bunge la bajeti kukamilika tunatarajia kuanza kuyatumia maji ya ziwa Tanganyika katika shughuli za kilimo na uzuri mitambo tunayo naamini Jambo hili litafanikiwa" - Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Tanzania
Waziri Bashe pia amebainisha kuwa mikakati ya serikali ni kuanza kutumia maji ya ziwa Tanganyika katika miradi ya kilimo cha umwagiliaji ambapo hatua ya kwanza itaanza katika Mikoa ya katavi na Rukwa.
Aidha ameweka wazi kuwa kutafanyika upembuzi wa kina na yakinifu ili maji hayo yasafirishwe hadi Simiyu ambapo kuna ukame na Tabora.