Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

Screenshot_2024-04-14-16-01-39-546_com.android.chrome.jpg
 
Mii hapa hii poor brain
kipindi hiko tunasoma history topic ya evolution of man...
Kuna zile hatua eg. homo eructus... Xristics zake tunasema alikua poor brain.
Sasa class kila nikiona mtu kajibu swali opposite mi nilikua na comment poor brain
Lilinikaa sana hili neno...

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe kweli ni poor brain, lakini hayo majina kwa mtoto wa form one ni ngumu kuyakalili mimi nilikuja kuyakalili form four karibu na necta.
 
Back
Top Bottom