Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,441
- 1,297
Salaàm!
Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.
Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye kukabidhiwa mhuri wa Moto? Tundu Lissu au Zitto Kabwe?
Uchaguzi si furahisha watu, mengi huangaliwa ili kuweka mtengamano miongoni mwa watu.
Ngaika Ndenda
Kigoma

- Yupi si muumini wa jino kwa jino?
- Yupi si mfuasi wa lugha za matusi na awezaye kuunganisha watanzania?
- Yupi awezaye kukaa meza moja na Marais wenzake wastaafu na kuwalinda?
- Yupi awezaye kuungwa mkono na jumuiya za kitaifa na kimataifa?