Tundu Lissu ni mpotoshaji tangu zamani, akikuambia leo ni Jumapili jaribu pia kuangalia vizuri kalenda yako

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Nov 20, 2021
1,503
1,118
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili,

Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa hayuko normal.

Hapo juu Mhe Kafulila David Akihojiwa na Kituo Cha runinga Cha Clouds Plus+ alionesha wazi uongo na Upotoshaji wa Lissu tangu enzi na enzi.

Nimwaka 2020 wakati wa kampeni LISSU huyu huyu alizusha uongo ila namshukuru sana Crde Kafulila alishughulika nae kisawa sawa kama alivyofanya Crde Kinana huko Dodoma.

Leo nampongeza Mhe Kafulila Kwa kumpa za uso na ndio sababu za Mhe Tundu Lissu hakupata kura popote kisa ni huu Uongo Uongo wake nashauri CHADEMA watafute mgombea mwingine 2025.

Alichokisema Mhe Kafulila: -

" Kwanza, nashukuru sasa kuona ndugu yangu Tundu Lissu ameanza kuleta hoja zinazoweza kuanza kujadilika kama mgombea, tofauti na mwanzo ambapo ilikuwa ni masimulizi ambayo kwakweli hayakuwa na lolote la kusaidia maamuzi ya mpiga kura.

Pili, Jana nilifuatilia hotuba yake iliyokosoa masuala kadhaa ambayo nimeona si busara ayatumie kupotosha Watanzania kufanya maamuzi katika misingi ya upotoshaji.

Ili kurahisisha, nimepanga mawazo yangu katika mafungu

1. Lissu anasema Ripoti ya Benki ya Dunia ya Mwaka huu 2020 kuhusu urahisi wa kufanya Biashara( Easy of Doing Business Report 2020) imeishusha Tanzania kutokana na utawala wa JPM.

2. Asichokijua Lissu na wenzake wanaotumia hoja hiyo ni kwamba tayari Benki hiyo hiyo ya dunia (WB), katika taarifa yake ya tarehe ya juzi Agosti 27,2020, imeifuta tathimini hiyo ya Mwaka 2020 na ile ya 2018.

3. Benki ya Dunia imeleza wazi kuwa tathimini hizo zilikuwa na kasoro nyingi za kiuweledi na hivyo kukosa uhalisia.

Hii itoshe tu kusema LISSU ni mwongo wa Karne apuuzwe asiaminiwe wala asipewe kura ".

Rais ni Mzanzibari ni kweli,✓

Sasa naomba kujibiwa haya maswali yangu saba (7) na wanaodhani wao si Wanzibar akiwemo Mhe Tundu Lissu.

1. Je ? Reli hii mpya ya SGR kutoka Dar mpaka Singida kwa Lissu si ni huyu Mama anayekesha akiomba omba pesa "Yalayala" huko World Bank,!! Hivi siku akistaafu na kurudi Zanzibar atakwenda na SGR?

2. Je? SG baada ya kutoa hizo 2,100MG nazo zimemaliza kabisa tatizo la mgao wa Umeme Zanzibar? Mbona hamsemi aliyemaliza tatizo la Umeme ni Mzanzibar?

3. Je, Vituo vya Afya na Zahanati zaidi ya 470 alizojenga ziko Zanzibar? Wanatibiwa watoto na akina mama wa Zanzibar?

4. Je, Mabarabara haya yote yanayojengwa Kila kona nayo yako Zanzibar?

5. Je, hizi TZS 600Bil alizoongeza kwa ajili ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni kwaajili ya watoto wa Wazanzibar?

6. Je, Hii Elimu Bure kutoka chekechea mpaka kidato Cha Sita wanaosoma ni Wazanzibar?

7. Je, hii demokrasia mnavyoandamana tena kwenye lami na makofia yenu kama migambo nyie ni Wazanzibar?

====
 
Ukitaka kuharibikiwa na ni kumkosoa Lissu, kwani yeye Hana porojo katiba ya jmt na Ile ya Zanzibar na miongozo pamoja na kanuni ndiyo dira yake ya kujibu maswali ndo maana watu kama akina nape, makamba, rizimoko, muchemba Madelu n.k hutosikia wakijibu chochote dhidi ya Lissu kwakuwa hawana Cha kuhoji na ikumbukwe Lissu haogopi kumjibu yeyote ukiondoa Mungu ndo maana mwenda kuzimu alipoona Hana uwezo wa kumjibu Lissu akaamua kumpiga risasi hata hivyo hakufa na kwenye uchaguzi wa 2020 Lissu alimpiga mtu kwenye mshono hakunyanyuka Hadi kufa na kuishia kuzimu pambaafu
 
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili,

Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa hayuko normal.

Rais ni Mzanzibari ni kweli,

Naomba nijibiwe haya maswali,

1. Je ? Reli ya SGR anayekesha akiomba omba pesa "Yalayala" akienda Zanzibar atakwenda nayo?

2. Je? SG baada ya kutoa hizo 2,100MG nazo zimemaliza mgao wa Umeme Zanzibar?

3. Je, Vituo vya Afya na Zahanati zaidi ya 470 alizojenga ziko Zanzibar?

4. Je, Mabarabara haya yote yanayojengwa Kila kona nayo yako Zanzibar?

5. Je, hizi TZS 600BL alizoogeza kwa ajili ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni kwaajili ya watoto wa Wazanzibar?

6. Je, Hii Elimu Bure kutoka chekeche mpaka kidato Cha Sita wanaosoma ni Wazanzibar?

7. Je, hii demokrasia mnavyoandamana tena kwenye lami na makofia yenu kama migambo nyie ni Wazanzibar?

Sasa ngoja niwakumbushe mwaka 2020 wakati wa kampeni LISSU huyu huyu alizusha uongo ila namshukuru sana kijana alishughulika nae kisawa sawa.

Hii itoshe tu kusema LISSU ni mwongo wa Karne apuuzwe.

====

View: https://x.com/kafulila_david/status/1787351503696453999?s=08

Hapana Kafulila alimpa za uso na hakupata kura popote kisa ni huu uongo wake.

Kwanza, nashukuru sasa kuona ndugu yangu Tundu Lissu ameanza kuleta hoja zinazoweza kuanza kujadilika kama mgombea, tofauti na mwanzo ambapo ilikuwa ni masimulizi ambayo kwakweli hayakuwa na lolote la kusaidia maamuzi ya mpiga kura.

Pili, Jana nilifuatilia hotuba yake iliyokosoa masuala kadhaa ambayo nimeona si busara ayatumie kupotosha Watanzania kufanya maamuzi katika misingi ya upotoshaji.

Ili kurahisisha, nimepanga mawazo yangu katika mafungu

1. Lissu anasema Ripoti ya Benki ya Dunia ya Mwaka huu 2020 kuhusu urahisi wa kufanya Biashara( Easy of Doing Business Report 2020) imeishusha Tanzania kutokana na utawala wa JPM.

2. Asichokijua Lissu na wenzake wanaotumia hoja hiyo ni kwamba tayari Benki hiyo hiyo ya dunia (WB), katika taarifa yake ya tarehe ya juzi Agosti 27,2020, imeifuta tathimini hiyo ya Mwaka 2020 na ile ya 2018.

3. Benki ya Dunia imeleza wazi kuwa tathimini hizo zilikuwa na kasoro nyingi za kiuweledi na hivyo kukosa uhalisia. Kwa maelezo zaidi soma ....
Doing Business – Data Irregularities Statement

We lofa ni wakupuuzwa mmmno maana unajibu kitu hukijui na hujaulizwa kisa kutafuta umaarufu kupitia LISSU!!

Elewa mantiki ya swali ndipo ujibu usituthibitishie ujinga wako!!! unatajataja vitu alivyofanya huku hujibu hoja kwani Lissu amekanusha kuhusu kujengwa Barabara?

Darsa lasaba na madrasa hazikutoshi ww kujibu hoja za mwanasheria nguli intaneshno anayesoma nakuelewa ambaye hata unaowaramba viatu wanamwaminia hoja zake sema hawakiri hadharani kwa maslahi yao zaidi.

Mtoa vihoja tulia unajidhalilisha kwaujinga unaoweka humu...
Haifai mzenji kuja kutawala bara na kuendesha/kuamua na kusimamia mambo lukuki ya wabara huku akifukuza kazi mawaziri wanaosimamia wizara zisizo za muungano!!
Mtu kutoka nchi yake anateua mzenji mwenzie kuongoza wizara ya uchukuzi kwanini? Kwanini awateulie mkuu wa wilaya/mkoa? mambo yetu tufanye wenyeweee!! Lini mbara atateua mkuu wa mkoa huko zenji?
TANGANYIKA YETU TUIONGOZE WENYEWE WABARA KAMA VILE ZENJI INAVYOONGOZWA NA WAZENJI PAMOJA NA UDOGO WAKE...TUONGOZE VILE WATANGANYIKA TUTAONA INAFAA NA TUTAFUTE WAWEKEZAJI KULE TUNAONA KUNATUFAA TUSIPELEKWE UARABUNI NAHISIA ZAMTU! HII HATA HAYATI NYERERE ANGELIKUWEPO ASINGELIKUBALI... Muulizeni Malecela anajua JKN anavyowachukulia walabu
 
We lofa ni wakupuuzwa mmmno maana tunajibu kitu hukijui na hujaulizwa kisa kutafuta umaarufu kupitia LISSU!!
Elewa mantiki ya swali ndipo ujibu usituthibitishie ujinga wako!!! unataja vitu alivyofanya huku hujibu hoja kwani Lissu amekanusha kuhusu kujengwa Barabara?
Darsa lasaba na madrasa hazitoshi ww kujibu hoja za mwanasheria nguli intaneshno anayesoma nakuelewa ambaye hata unaowaramba viatu wanamwaminia hoja zake sema hawakiri hadharani kwa maslahi yao zaidi.
Mtoa vihoja tulia unajidhalilisha kwaujinga unaoweka humu
Hawa UWT hawana akili timamu
 
Ukitaka kuharibikiwa na ni kumkosoa Lissu, kwani yeye Hana porojo katiba ya jmt na Ile ya Zanzibar na miongozo pamoja na kanuni ndiyo dira yake ya kujibu maswali ndo maana watu kama akina nape, makamba, rizimoko, muchemba Madelu n.k hutosikia wakijibu chochote dhidi ya Lissu kwakuwa hawana Cha kuhoji na ikumbukwe Lissu haogopi kumjibu yeyote ukiondoa Mungu ndo maana mwenda kuzimu alipoona Hana uwezo wa kumjibu Lissu akaamua kumpiga risasi hata hivyo hakufa na kwenye uchaguzi wa 2020 Lissu alimpiga mtu kwenye mshono hakunyanyuka Hadi kufa na kuishia kuzimu pambaafu
Lissu anasoma na kufanya tatifit
 
Nimeamini Tundu ni mwiba wa kuotea mbali Kinana amepambana lakini ameshindwa kupangua hoja, wengine wanasema tu kuwa tuwaogope wanaotugawa kwa tunakotoka au kwa ukabira lakini hawasemi hoja kwa hoja. Inaonekana hakuna mwana CCM tena atakayekuwa na uwezo wa kujibu Tundu
 
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili,

Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa hayuko normal.

Rais ni Mzanzibari ni kweli,

Naomba nijibiwe haya maswali na wanaodhani wao sio Wanzibar akiwemo Tundu Lissu.

1. Je ? Reli ya SGR anayekesha akiomba omba pesa "Yalayala" akienda Zanzibar atakwenda nayo?

2. Je? SG baada ya kutoa hizo 2,100MG nazo zimemaliza mgao wa Umeme Zanzibar?

3. Je, Vituo vya Afya na Zahanati zaidi ya 470 alizojenga ziko Zanzibar?

4. Je, Mabarabara haya yote yanayojengwa Kila kona nayo yako Zanzibar?

5. Je, hizi TZS 600BL alizoogeza kwa ajili ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni kwaajili ya watoto wa Wazanzibar?

6. Je, Hii Elimu Bure kutoka chekeche mpaka kidato Cha Sita wanaosoma ni Wazanzibar?

7. Je, hii demokrasia mnavyoandamana tena kwenye lami na makofia yenu kama migambo nyie ni Wazanzibar?

====

Sasa ngoja niwakumbushe kidogo mwaka 2020 wakati wa kampeni LISSU huyu huyu alizusha uongo ila namshukuru sana Crde Kafulila alishughulika nae kisawa sawa kama alivyofanya Crde Kinana huko Dodoma.

Hapa Mhe Kafulila alimpa za uso na ndio sababu Mhe Tundu Lissu hakupata kura popote kisa ni huu Uongo Uongo wake nashauri CHADEMA tafuteni mgombea mwingine 2025.

View: https://x.com/kafulila_david/status/1787351503696453999?s=08[/URL]

Akihojiwa na Kituo Cha runinga Cha Clouds Plus+ Mhe David Kafulila alikuwa na haya ya kusema kuhusu uongo wa Mhe Tundu Lissu.

Kwanza, nashukuru sasa kuona ndugu yangu Tundu Lissu ameanza kuleta hoja zinazoweza kuanza kujadilika kama mgombea, tofauti na mwanzo ambapo ilikuwa ni masimulizi ambayo kwakweli hayakuwa na lolote la kusaidia maamuzi ya mpiga kura.

Pili, Jana nilifuatilia hotuba yake iliyokosoa masuala kadhaa ambayo nimeona si busara ayatumie kupotosha Watanzania kufanya maamuzi katika misingi ya upotoshaji.

Ili kurahisisha, nimepanga mawazo yangu katika mafungu

1. Lissu anasema Ripoti ya Benki ya Dunia ya Mwaka huu 2020 kuhusu urahisi wa kufanya Biashara( Easy of Doing Business Report 2020) imeishusha Tanzania kutokana na utawala wa JPM.

2. Asichokijua Lissu na wenzake wanaotumia hoja hiyo ni kwamba tayari Benki hiyo hiyo ya dunia (WB), katika taarifa yake ya tarehe ya juzi Agosti 27,2020, imeifuta tathimini hiyo ya Mwaka 2020 na ile ya 2018.

3. Benki ya Dunia imeleza wazi kuwa tathimini hizo zilikuwa na kasoro nyingi za kiuweledi na hivyo kukosa uhalisia.

Hii itoshe tu kusema LISSU ni mwongo wa Karne apuuzwe.

Kwa maelezo zaidi soma ....
Doing Business – Data Irregularities Statement​

Wewe ndio mpotoshaji wa Karne.
 
We lofa ni wakupuuzwa mmmno maana unajibu kitu hukijui na hujaulizwa kisa kutafuta umaarufu kupitia LISSU!!
Elewa mantiki ya swali ndipo ujibu usituthibitishie ujinga wako!!! unatajataja vitu alivyofanya huku hujibu hoja kwani Lissu amekanusha kuhusu kujengwa Barabara?
Darsa lasaba na madrasa hazikutoshi ww kujibu hoja za mwanasheria nguli intaneshno anayesoma nakuelewa ambaye hata unaowaramba viatu wanamwaminia hoja zake sema hawakiri hadharani kwa maslahi yao zaidi.
Mtoa vihoja tulia unajidhalilisha kwaujinga unaoweka humu...
Haifai mzenji kuja kutawala bara na kuendesha/kuamua na kusimamia mambo lukuki ya wabara huku akifukuza kazi mawaziri wanaosimamia wizara zisizo za muungano!!
Mtu kutoka nchi yake anateua mzenji mwenzie kuongoza wizara ya uchukuzi kwanini? Kwanini awateulie mkuu wa wilaya/mkoa? mambo yetu tufanye wenyeweee!! Lini mbara atateua mkuu wa mkoa huko zenji?
TANGANYIKA YETU TUIONGOZE WENYEWE WABARA KAMA VILE ZENJI INAVYOONGOZWA NA WAZENJI PAMOJA NA UDOGO WAKE...TUONGOZE VILE WATANGANYIKA TUTAONA INAFAA NA TUTAFUTE WAWEKEZAJI KULE TUNAONA KUNATUFAA TUSIPELEKWE UARABUNI NAHISIA ZAMTU! HII HATA HAYATI NYERERE ANGELIKUWEPO ASINGELIKUBALI... Muulizeni Malecela anajua JKN anavyowachukulia walabu
Mwongo ni mwongo tu hata kama Leo anazungumzia Katiba ya JMT
 
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili,

Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa hayuko normal.

Rais ni Mzanzibari ni kweli,

Naomba nijibiwe haya maswali na wanaodhani wao sio Wanzibar akiwemo Tundu Lissu.

1. Je ? Reli ya SGR anayekesha akiomba omba pesa "Yalayala" akienda Zanzibar atakwenda nayo?

2. Je? SG baada ya kutoa hizo 2,100MG nazo zimemaliza mgao wa Umeme Zanzibar?

3. Je, Vituo vya Afya na Zahanati zaidi ya 470 alizojenga ziko Zanzibar?

4. Je, Mabarabara haya yote yanayojengwa Kila kona nayo yako Zanzibar?

5. Je, hizi TZS 600BL alizoogeza kwa ajili ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni kwaajili ya watoto wa Wazanzibar?

6. Je, Hii Elimu Bure kutoka chekeche mpaka kidato Cha Sita wanaosoma ni Wazanzibar?

7. Je, hii demokrasia mnavyoandamana tena kwenye lami na makofia yenu kama migambo nyie ni Wazanzibar?

====

Sasa ngoja niwakumbushe kidogo mwaka 2020 wakati wa kampeni LISSU huyu huyu alizusha uongo ila namshukuru sana Crde Kafulila alishughulika nae kisawa sawa kama alivyofanya Crde Kinana huko Dodoma.

Hapa Mhe Kafulila alimpa za uso na ndio sababu Mhe Tundu Lissu hakupata kura popote kisa ni huu Uongo Uongo wake nashauri CHADEMA tafuteni mgombea mwingine 2025.

View: https://x.com/kafulila_david/status/1787351503696453999?s=08[/URL]

Akihojiwa na Kituo Cha runinga Cha Clouds Plus+ Mhe David Kafulila alikuwa na haya ya kusema kuhusu uongo wa Mhe Tundu Lissu.

" Kwanza, nashukuru sasa kuona ndugu yangu Tundu Lissu ameanza kuleta hoja zinazoweza kuanza kujadilika kama mgombea, tofauti na mwanzo ambapo ilikuwa ni masimulizi ambayo kwakweli hayakuwa na lolote la kusaidia maamuzi ya mpiga kura.

Pili, Jana nilifuatilia hotuba yake iliyokosoa masuala kadhaa ambayo nimeona si busara ayatumie kupotosha Watanzania kufanya maamuzi katika misingi ya upotoshaji.

Ili kurahisisha, nimepanga mawazo yangu katika mafungu

1. Lissu anasema Ripoti ya Benki ya Dunia ya Mwaka huu 2020 kuhusu urahisi wa kufanya Biashara( Easy of Doing Business Report 2020) imeishusha Tanzania kutokana na utawala wa JPM.

2. Asichokijua Lissu na wenzake wanaotumia hoja hiyo ni kwamba tayari Benki hiyo hiyo ya dunia (WB), katika taarifa yake ya tarehe ya juzi Agosti 27,2020, imeifuta tathimini hiyo ya Mwaka 2020 na ile ya 2018.

3. Benki ya Dunia imeleza wazi kuwa tathimini hizo zilikuwa na kasoro nyingi za kiuweledi na hivyo kukosa uhalisia.

Hii itoshe tu kusema LISSU ni mwongo wa Karne apuuzwe na asipewe kura hata moja".

Kwa maelezo zaidi soma ....
Doing Business – Data Irregularities Statement​

Lissu ni mwongo mwongo sana hili tunalijua ndio maana tunampuuza
 
Ndugu umejitahidi sana kuandika maelezo mareefu sana😅.Mimi nataka nikukumbushe tu maneno aliyosema waziri mkuu mstaafu Jaji Sinde J Warioba alipoulizwa kuhusu uwezekano wa Lissu kuwa Rais.Warioba alisema Lissu akiwa Rais itabidi watamzania wajifunze kuishi kwa kufuata sheria na kuzijua sheria!!
Nafikiri hyo ndio tofauti yako wew na Lissu,ili umuelewe Lissu zipende sheria🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom