Computer4Sale Tunauza Desktop CPU & Complete

bigi21

Member
Apr 7, 2024
17
7
Unataka Ipi kati ya hizi?👇👇👇

Je, unatafuta Desktop(CPU peke yakee au Complete)?

Je, unatafuta Core 2 Dual, Core i3, Core i5 au Core i7?

Je, unatafuta yenye RAM 2GB, 4GB,8GB!?

Je, unatafuta yenye kioo inch 17', 19' 20' 22' au 24'?

Desktop complete zinaanzia tsh. Imepungua na kuanzia Tsh. 239,999/= badala ya Tsh. 295,000/=( Complete)

Pia CPU Peke yake bei imepungua, zinaanzia tsh. 139,999/= badala ya 180000

Sasa iko hivi, OFA hii itawahusu Watu 10 wa kwanza ambao watajipatia bidhaa hizi kwa bei Punguzo sana.

Wahi Mapema kabla ya OFA hii kuisha siku ya kesho) saa 12:00 jioni, baada ya hapo bei zitakuwa zaidi ya hapa.

N.B. Tutahakikisha tunaweka Window, Microsoft Word na applications zote muhimu kwenye Kompyuta yako.

Pia Utapewa USHAURI BURE, jinsi ya Kutunza Desktop yako, na Desktop ipi inakufaa kulingana na kazi ambayo unaifanya kupitia Desktop hiyo.

Weka ODA yako kwa:

Kupiga/ Sms/ WhatsApp,

0628722382

Karibuni sana.

N.B Tutakujibu kwa haraka sana kwa njia ya WhatsApp


1713186060785.jpg
 
Mbona hujaelezea bidhaa yako Sasa Mana umeelezea unachotaka kwa mteja Ila ukashindwa kuelezea wewe ulicho nacho vizuri. Mfano Kama Ni mtumba ni za nchi gani na zimetengenezwa lini, Zina ukubwa gani, brand name etc
 
Back
Top Bottom