Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

Solar system kubwa zaidi ya kuwasha kila kitu nyumba nzima mnazo? Na mnauzaje?.
Je hybrid solar mnaleta pia
Nataka nifunge solar itakayowasha refrigerator, a/c na TV yaani kila kitu
 
Solar system kubwa zaidi ya kuwasha kila kitu nyumba nzima mnazo? Na mnauzaje?.
Je hybrid solar mnaleta pia
Nataka nifunge solar itakayowasha refrigerator, a/c na TV yaani kila kitu
Zipo, tunaomba power za vifaa vyako na unahitaji viwashe kwa masaa mangapi kwa siku?

Whatssap 0756403470
Kupiga simu 0685 779 911
 
watts 400 na hilo battery ilirun nyumba nzima usiku kucha kama miezi mitatu alafu ikaanza kuzingua. Ni taa tuu za nje kama 8 za wat 3 na maramoja moja masaa kama matano tv.
Shukurani sana mkuu, tumewasiliana na tumepeana Elimu
 
shukran mkuu nitafanyia kazi ushauri wako umenifumbua saana katatizo kalikuwa kanajitokeza mara kwa mara
 
Mfumo wa CCTV camera bei gani mkuu!?
Kama ni Solar Cctv Cameras bei yake ni Tsh 650,000/= inakuwa fully kama unavyoona kwenye picha hapo chini
FB_IMG_1692944662009.jpg
FB_IMG_1692944685611.jpg
 
INVERTER 5000W,,
BATTERY 4pcs
SOLAR 16pcs
DC CABLE
L/CHARGE
Mkuuu Kwa vifaa hivyo inaweza garimu kias gn?
Mkuu battery hapo ni Ah(N) ngapi kila moja na Solar Panels hapo ni Watts ngapi kila moja?

Whatssap 0756403470
Kupiga simu 0685 779 911

Nitajie hapo tutiririke hapa hapa Mkuu
 
Mkuu battery hapo ni Ah(N) ngapi kila moja na Solar Panels hapo ni Watts ngapi kila moja?

Whatssap 0756403470
Kupiga simu 0685 779 911

Nitajie hapo tutiririke hapa hapa Mkuu
Mzeee wangu Mimi sio mtaalam sana isipokuwa hivyo vitu nimeandikiwa na fundi wangu Kwa lengo la kupata umeme Watt 3000/5000,, kwahyo kwenye betri inabidi betri havy duty na pamoja na solar panels kwahy pigia panel yenye uwezo na betri yenye uwezo nimekuchk wasap nimeona kimya
 
Size ipi ya battery na pannel naweza kuwashia fridge?
Kama Fridge yako ina 240Watts na unahitaji mfano uwashe kwa siku masaa 6 basi System hii itakufaa..

Solar panels 300Watts (Mono) - 450,000/=
Battery 200Ah- 580,000/=
Control Charge 20A - 55,000/=
Panels wire 6mm 10M - 40,000/=
Inverter 12V 800Watts- 300,000/=

Jumla ni Tsh 1,425,000/=

Ikiwa kwako una Umeme na unahitaji utumie Backup basi utatakiwa kuwa:-

Battery 200Ah - 580,000
Inverter 12V 800Watts- 300,000

Jumla ni Tsh 61,0000/=

(Picha ya Inverter ni kama hii unayoina kwenye picha )
20230922_144008.jpg
 
Mzeee wangu Mimi sio mtaalam sana isipokuwa hivyo vitu nimeandikiwa na fundi wangu Kwa lengo la kupata umeme Watt 3000/5000,, kwahyo kwenye betri inabidi betri havy duty na pamoja na solar panels kwahy pigia panel yenye uwezo na betri yenye uwezo nimekuchk wasap nimeona kimya
Hapo nimekuelewa sasa ngoja nikupangie mkuu..subiri kama dakika chache nitakuwekea mkeka wako
 
Zipo, tunaomba power za vifaa vyako na unahitaji viwashe kwa masaa mangapi kwa siku?

Whatssap 0756403470
Kupiga simu 0685 779 911
Mimi nimeuliza swali kwa wewe muuzaji na wewe unanipiga maswali tena mkuu vipi?
Unauliza viwashwe kwa masaa mangapi
Fridge ni kila siku inajulikana
Hapo ungeniambia zipo za kuwasha nyumba nzima na watts zake ni hizo na ninahitaji panels ngapi au kva ngapi kama ni 5 au 10 na bei mkuu very simple na unanipa bei naangalia na mimi ipi inanifaa ila wewe nimekuuliza na wewe unaniuliza
Naomba unieleweshe tu niwe mteja wa bila karaha
 
Back
Top Bottom