Tunatoa maadili kwenye Biblia

SimbaMpole123

JF-Expert Member
Apr 23, 2023
5,240
4,376
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.

Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)

Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)

Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)

Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)

Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)

Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)

Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)

Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21

Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
 
Huyo Mungu wa kwenye biblia ni Mungu wa uongo ndio maana amefanya uharamia na mauaji ya kutisha.

Mungu wa kweli ni upendo hana muda wa kuhukumu na kufokea watu.

Huyo wa kwenye biblia ni LIPEPO lililopewa jina la MUNGU.
 
d6cd18c9caa1752c3177df19d94da23353-10-pot-belly-pig.2x.h473.w710.jpg

Tatizo lako hujamla huyu.
 
Mbona unatumia agano la kale pekee mkuu.

Enewei nia yako ni kutaka kujua au kusanua wana??
Hivi hujaona Ufunuo apo au ..afu wakristo mnanishangaza kitu kimoja. Mnapenda kuchagua vipande vya Biblia mnavyoona vinawafaa binafsi na vingine mnaviacha. Mambo ya ushoga Yesu hakuongelea yapo kwenye agano la kale Ila mnayafuatilia. Ila likija swala la kuzini inabidi upigwe mawe mnasema ni agano la kale. Kama halitumiki mbona lipo kwenye Biblia Sasa. Acheni visingizio either kitabu kizima ni uongo au kizima ni Cha ukweli. Mambo ya hoo nasoma hapa naacha hapa mwingine anasoma kule anaacha huku hatutaki.
 
Mungu ni Mungu mshika maagano na sheria lkn ni mwepesi sana kusamehe kuliko mungu mwingne yyt ulimwengu huu, uliza wanaotumikia miungu mingne watakwambia.
.
Hoja yako ni dhaifu sana kwasabab hao watu wote unasema Mungu aliwaua sio Mungu alowauwa, walikufa kwa sababu ya wao kuchagua kumtumkia shetani na kumpa shetani maisha yao hiyo ipo mpka leo je ni watu wangap wanakufa leo kwa sababu ya kumtumikia shetani kwenye pombe, uzinzi, wizi, kafara, ugomvi N.K
.
Soma vzr biblia yako mwanzk mpka ufunuo hakuna aliye mwenye haki mbele za Mungu na akaachwa na Mungu..
 
Ndio maana nikakuuliza lengo lako ni kusanua watu au ni wewe kutaka maelezo zaidi.

Ujue watu wengi kama wewe huwa hamuelewi mnataka nini, mwisho wa siku mnajikuta dini za watu zinawaumiza mno, mabishano makali mwisho wa siku tofauti yako na mshika dini inakua haipo.
 
ndio shida za hawa jamaa?
 
Ila Kuna Mara kauwa watu bila hatia mbona huwezi elewa. Hebu soma hapo.
 
Ndio maana nikakuuliza lengo lako ni kusanua watu au ni wewe kutaka maelezo zaidi.

Ujue watu wengi kama wewe huwa hamuelewi mnataka nini, mwisho wa siku mnajikuta dini za watu zinawaumiza mno, mabishano makali mwisho wa siku tofauti yako na mshika dini inakua haipo.
Dini za uwongo bana
 
Back
Top Bottom