Mwenezi CCM Arusha: Kama huna Kadi ya CCM umemsaliti Mungu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,688
50,479
Maneno mengine mtatia wenyewe ila nimefikisha ujumbe na mjumbe hauwawi 👇👇

==
Alichokisema: Kujiunga ndani ya chama cha mapinduzi, haujamsaliti Mungu. Wote ambao hawana kadi za CCM wamemsaliti Mungu. Haiwezekani umezaliwa Tanzania, kwasababu nataka kuwaambia kuzaliwa mchaga huchagui, kuzaliwa mpare huchagui, kuzaliwa Tanzania huchagui, vyote hivyo unavikuta. Lakini wakati unavikuta unakuta Mungu naye kashaweka utaratibu wake, tokea tumepata uhuru mwaka 1961. Yaani wote hapa tumezaliwa baada ya uhuru, tumekuta CCM iko madarakani. Na biblia inasema mamlaka zote mtakazozikuta duniani zimewekwa na nani? (Mungu, wameitikia). Halafu mzitii kwa sababu zimewekwa na Mungu.

Sasa nakushangaa umezaliwa tena bahati nzuri umezaliwa mndengereko, halafu umezaliwa Tanzania, Arusha halafu unakutana na mbunge ni mwanaCCM, Diwani CCM, Mwenyekiti wa Mtaa CCM, halafu wewe unajiita upinzani. Si umemgeuka Mungu, wakikuita Yuda kuna ubaya?. Kwasababu Mungu ndio kaweka hizi mamlaka na kwa bahati nzuri mamlaka zinatoka CCM. Yeyote yule ambaye hana kadi ya CCM kwa Tanzania hii kamsaliti Mungu bila kujua.

My Take
Aache mzaha na M/Mungu,akamuulize Jiwe Kiongozi wa Malaika ambae wafuasi wake wanaoteseka Hadi kesho hawataki kukubari kwamba kumbe na Jiwe Huwa linakufa.
 
Ni sawa tu.

Wakiongelea maswala sensitive ya uchumi akili zetu zipo kwenye energy, ngono, nani tajiri kati ya huyu na yule, connections so hana haja ya kutumia akili nzito kuongea na wasikilizaji
 
Maneno mengine mtatia wenyewe ila nimefikisha ujumbe na mjumbe hauwawi 👇👇

==
Alichokisema: Kujiunga ndani ya chama cha mapinduzi, haujamsaliti Mungu. Wote ambao hawana kadi za CCM wamemsaliti Mungu. Haiwezekani umezaliwa Tanzania, kwasababu nataka kuwaambia kuzaliwa mchaga huchagui, kuzaliwa mpare huchagui, kuzaliwa Tanzania huchagui, vyote hivyo unavikuta. Lakini wakati unavikuta unakuta Mungu naye kashaweka utaratibu wake, tokea tumepata uhuru mwaka 1961. Yaani wote hapa tumezaliwa baada ya uhuru, tumekuta CCM iko madarakani. Na biblia inasema mamlaka zote mtakazozikuta duniani zimewekwa na nani? (Mungu, wameitikia). Halafu mzitii kwa sababu zimewekwa na Mungu.

Sasa nakushangaa umezaliwa tena bahati nzuri umezaliwa mndengereko, halafu umezaliwa Tanzania, Arusha halafu unakutana na mbunge ni mwanaCCM, Diwani CCM, Mwenyekiti wa Mtaa CCM, halafu wewe unajiita upinzani. Si umemgeuka Mungu, wakikuita Yuda kuna ubaya?. Kwasababu Mungu ndio kaweka hizi mamlaka na kwa bahati nzuri mamlaka zinatoka CCM. Yeyote yule ambaye hana kadi ya CCM kwa Tanzania hii kamsaliti Mungu bila kujua.

My Take
Aache mzaha na M/Mungu.
Usijibu kauli mbaya kwa kauli mbaya! Huyu anajibiwa kama hivi:
1. Kwanza kabsa anajishushia heshima yeye binafsi kwa kauli kama hizi! Na amini usiamini "Hakuna kitu kibaya kama kulamba miguu ili upate nafasi au kipato" Kujimwambafyai huku kumezidi. Alianza Mwenyekiti UVCCM Kagera akasema kuwa watu wakipotezwa Polisi wasiulize chochote. Ni aibu kwake na familia yake.
2. Makuzi ya Kidini, nina imani kubwa kuwa msingi wa dini au imani yoyote hakuna kipengele cha kudhihaki Mungu kwa namna yoyote ile, Sio Wahindu wala Waislamu, Wakristo, au Shinto. Huyu amejitoa ufahamu wa heshima yake kwa Mungu kisa tu Chama!? Mzaha wa kiasi gani huu?!
 
Hawa wanatumia vibaya bibilia.kwanza katenda dhambi Kwa kusema uongo.anajua kabisa ccm imetuharibia Nchi Kwa viongozi wake kujilimbikizia Mali.bibilia haisemi tuheshimu mamlaka ovu kama za ccm
 
Maneno mengine mtatia wenyewe ila nimefikisha ujumbe na mjumbe hauwawi 👇👇

==
Alichokisema: Kujiunga ndani ya chama cha mapinduzi, haujamsaliti Mungu. Wote ambao hawana kadi za CCM wamemsaliti Mungu. Haiwezekani umezaliwa Tanzania, kwasababu nataka kuwaambia kuzaliwa mchaga huchagui, kuzaliwa mpare huchagui, kuzaliwa Tanzania huchagui, vyote hivyo unavikuta. Lakini wakati unavikuta unakuta Mungu naye kashaweka utaratibu wake, tokea tumepata uhuru mwaka 1961. Yaani wote hapa tumezaliwa baada ya uhuru, tumekuta CCM iko madarakani. Na biblia inasema mamlaka zote mtakazozikuta duniani zimewekwa na nani? (Mungu, wameitikia). Halafu mzitii kwa sababu zimewekwa na Mungu.

Sasa nakushangaa umezaliwa tena bahati nzuri umezaliwa mndengereko, halafu umezaliwa Tanzania, Arusha halafu unakutana na mbunge ni mwanaCCM, Diwani CCM, Mwenyekiti wa Mtaa CCM, halafu wewe unajiita upinzani. Si umemgeuka Mungu, wakikuita Yuda kuna ubaya?. Kwasababu Mungu ndio kaweka hizi mamlaka na kwa bahati nzuri mamlaka zinatoka CCM. Yeyote yule ambaye hana kadi ya CCM kwa Tanzania hii kamsaliti Mungu bila kujua.

My Take
Aache mzaha na M/Mungu,akamuulize Jiwe Kiongozi wa Malaika ambae wafuasi wake wanaoteseka Hadi kesho hawataki kukubari kwamba kumbe na Jiwe Huwa linakufa.
Ccm wameshapigwa na laana sio bure!!
 
Back
Top Bottom