Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,465
9,767
Wana JF, wasalaam.

Naenda moja kwa moja kwenye mada.

Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu.

Kuna vielementi vingi sana ninavyo viona vitakavyo mnyima kura.

1. Hana kambi ya kumpigania kufa kupona. yuko na chawa tu ambao wao wanafuata upepo tu. Kifupi hajatengeneza timu yake kwenye Siasa.

2. Kuna jamii bado kabisa haiamini kutawaliwa na mwanamke, inatawaliwa tu by the way.

3. Bandari, narudia tena, Bandari. Hii ni issue kubwa sana linapokuja swala la kampeni.

4. Wamasai, nawahakikishia hapa napo ni kazi mno. Kanda ya kazikazini hapa wanasema mzanzibari kawafukuza watanganyika kwenye ardhi yao.

5. Kujenga hoja. Samia hana haiba ya kujenga hoja na wananchi wakamsikiliza. Itakuwa ngumu sana kupangua makombola ya wapinzani. Wakati wa uchaguzi watu wanahitaji mzuka yaani, mtu akiongea iwe kwikwi.. ni kama umuone Ester Bulaya ama Mdee wanaongea, utawasikiliza tu. Ila kumsikiliza Samia ni mpaka uwe na maslahi na speech yake..kama May Mosi vile.

6. Muungano; Huu muungano wetu unafanya mgombea kutoka zanzibar aonekane kama mvamizi, Muungano unatakiwa ufanyiwe marekebisho. Bila kuurekebisha mtu kutoka zanzibar ni ngumu sana kupata kura huku bara. Kama anamchanganyiko wa ubara na Uzanzibari anaweza akapata.

Sawali; Je, CCM wamshauri aachie ngazi kimya kimya ama wamupeleke tu hivyo arudi ikulu kwa kumwaga damu?
 
Wana JF, walaam.

1. Hana kambi ya kumpigania kufa kupona. yuko na chawatu ambao wao wanafuata upepo tu.

5. Kujenga hoja. Samia hana haiba ya kujenga hoja na wananchi wakamsikiliza. Itakuwa ngumu sana kupangua makombola ya wapinzani. Wanakati wa uchaguzi watu wanahitaji mzuka yaani, mtu akiongea iwe kwikwi.. ni kama umuone Ester Bulaya ama Mdee wanaongea, utawasikiliza tu. Ila kumsikiliza Samia ni mpaka uwe na maslahi na speech yake..kama may mosi vile.
6. Muungano; Huu muungano wetu unafanya mgombea kutoka zanzibar aonekane kama mvamizi, Muungano unatakiwa ufanyiwe malekebisho. Bila kuurekebisha mtu kutoka zanzibar ni ngumu sana kupata kura huku bara. Kama anamchanganyiko wa ubara na Uzanzibari anaweza akapata.

Sawali ; Je, ccm wamushauri aachie ngazi kimya kimya ama wamupeleke tu hivyo arudi ikulu kwa kumwaga damu?
Yeye anataka sasa mtoto akililia wembe mpe maana washauri washamshauri msoga ndio alichokitaka. Mradi amani ipo nafunga domo
 
Hii mada ingeambatanishwa na POLL ingependeza sana
 
Sa100 hana maono hafai kuendelea kuwa Rais, inaonekana anategemea sana mambo ya kuambiwa/kushauriwa!.
Ila yeye kama Rais hana maarifa ya kuona njia ipi nchi ufate tupate maendeleo.
Rejea ile kauli yake maarufu mwanzoni mwa utawala wake (muende mkalitazame, hapa anawaambia wasaidizi).
Rais bora hasa kwa nchi zetu za Kiafrika zenye changamoto nyingi zinahitaji Rais mwenye maarifa sana, na akiwa genious itapendeza zaidi!!.
 
Samia ana sapaoti ya Chama cha Mapinduzi. Na upinzani hauna nguvu Hilo linatosha kumpa urais
Ni rahisi sana kusema hivi.

Hasa kama unaangalia siasa kwa jicho la chama. CCM imeshawachosha hata waasisi kwa namna inavyojijengea mifumo ya watu walewale siku zote.

Wengi unao waona ni kwa vile mkono lazima uende kinywani.

Hivyo CCM inahitaji mtu anaekubarika kwenye jamii ili ishinde.
 
Duniani hakuna mwananchi anayechagua kiongozi..., wale wanao-nominate ndio wanachagua wewe unaletewa tu baadhi ya choices zao... Thus yoyote CCM itakayeamua atapita unless wasikubaliane (ndicho kilichotokea Kenya hadi KANU ikafa na ndio vikaibuka vyama vingine kwa characters zilezile)
 
Wana JF, walaam.

Naenda moja kwa moja kwenye mada.

Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu.

Kuna vielementi vingi sana ninavyo viona vitakavyo mnyima kura.
1. Hana kambi ya kumpigania kufa kupona. yuko na chawa tu ambao wao wanafuata upepo tu. Kifupi hajatengeneza timu yake kwenye Siasa.
2. Kuna jamii bado kabisa haiamini kutawaliwa na mwanamke, inatawaliwa tu by the way.
3. Bandari, narudia tena, Bandari. Hii ni issue kubwa sana linapokuja swala la kampeni.
4. Wamasai, nawahakikishia hapa napo ni kazi mno. Kanda ya kazikazini hapa wanasema mzanzibari kawafukuza watanganyika kwenye ardhi yao.
5. Kujenga hoja. Samia hana haiba ya kujenga hoja na wananchi wakamsikiliza. Itakuwa ngumu sana kupangua makombola ya wapinzani. Wanakati wa uchaguzi watu wanahitaji mzuka yaani, mtu akiongea iwe kwikwi.. ni kama umuone Ester Bulaya ama Mdee wanaongea, utawasikiliza tu. Ila kumsikiliza Samia ni mpaka uwe na maslahi na speech yake..kama may mosi vile.
6. Muungano; Huu muungano wetu unafanya mgombea kutoka zanzibar aonekane kama mvamizi, Muungano unatakiwa ufanyiwe malekebisho. Bila kuurekebisha mtu kutoka zanzibar ni ngumu sana kupata kura huku bara. Kama anamchanganyiko wa ubara na Uzanzibari anaweza akapata.

Sawali ; Je, ccm wamushauri aachie ngazi kimya kimya ama wamupeleke tu hivyo arudi ikulu kwa kumwaga damu?
"Nyie wapigieni kura hao lakini CCM ndiyo itaunda serikali", ni maneno yake alisikika akiyasema.
 
Awamu hii ni tofauti sana na awamu ya 5. Utawala wa Samia uko light kiasi kwamba, wapinzani wakiamuka tu hadi December 2024 samia ataanza kuzomewa.
 
1. Hana Maono,

2.Uwezo wa kujenga HOJA na kutetea HOJA ni mdogo,

3. Usimamizi wa raslimali za umma ni mdogo,

4. Uwezo wa Kupambana na RUSHWA ni chini.

5. Uwezo na uthubutu wa kufanya maamuzi Kwa wakati uko chini .

6. Hashauriki, issue ya Ngorongoro, Bandari, Tume huru na Katiba mpya kabla ya Uchaguzi, ni baadhi tu ya mifano michache.

Tuweke vyama pembeni, 2025 ni Bora akapumzika mchakato ukafanyika apatikane mtu sahihi.
 
Wana JF, walaam.

Naenda moja kwa moja kwenye mada.

Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu.

Kuna vielementi vingi sana ninavyo viona vitakavyo mnyima kura.

1. Hana kambi ya kumpigania kufa kupona. yuko na chawa tu ambao wao wanafuata upepo tu. Kifupi hajatengeneza timu yake kwenye Siasa.

2. Kuna jamii bado kabisa haiamini kutawaliwa na mwanamke, inatawaliwa tu by the way.

3. Bandari, narudia tena, Bandari. Hii ni issue kubwa sana linapokuja swala la kampeni.

4. Wamasai, nawahakikishia hapa napo ni kazi mno. Kanda ya kazikazini hapa wanasema mzanzibari kawafukuza watanganyika kwenye ardhi yao.

5. Kujenga hoja. Samia hana haiba ya kujenga hoja na wananchi wakamsikiliza. Itakuwa ngumu sana kupangua makombola ya wapinzani. Wakati wa uchaguzi watu wanahitaji mzuka yaani, mtu akiongea iwe kwikwi.. ni kama umuone Ester Bulaya ama Mdee wanaongea, utawasikiliza tu. Ila kumsikiliza Samia ni mpaka uwe na maslahi na speech yake..kama May Mosi vile.

6. Muungano; Huu muungano wetu unafanya mgombea kutoka zanzibar aonekane kama mvamizi, Muungano unatakiwa ufanyiwe marekebisho. Bila kuurekebisha mtu kutoka zanzibar ni ngumu sana kupata kura huku bara. Kama anamchanganyiko wa ubara na Uzanzibari anaweza akapata.

Sawali; Je, CCM wamshauri aachie ngazi kimya kimya ama wamupeleke tu hivyo arudi ikulu kwa kumwaga damu?
Kwa Usalama wa CCM huyu mama asithubutu kugombea. Ameharibu mno
 
Back
Top Bottom