Tumewachoka wataalam wa lishe mnaotupa ushauri wa kuongeza nguvu za kiume

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,134
110,489
Eti ili Mwanaume uwe vizuri na Nguvu za Kiume ziwe nyingi unatakiwa kutafuta Boga kisha unaweka Mafuta ya Kupikia uncchanganya na Vitunguu na wakati ukiwa Unavikaanga unachanganyia na Maziwa ya Mtindi humo humo na ikikaribia Kuiva ukakatiakata na Bamia kisha unapakuwa na kula.

Sikilizeni nyie Wataalam wa Lishe ni hivi, tumeshawachokeni kwakweli kwa sasa na hizi Elimu zenu za Bahati Nasibu Uongo Kunoga mnazotoa kwetu wanaume kila siku.

Kudadadeki GENTAMYCINE Mseto wangu Tukuka mbele ya Mbunye yoyote iliyoko mbele yangu ni ule ule tu wa enzi zetu wa kunywa maji mengi, kupata muda wa kutosha wa kupumzika, kula ndizi mbivu, mtindi huku nikitafuna ama karanga au Muhogo mbichi na nikihakikisha mfukoni na katika akaunti zangu ni hela za kutosha.

Wapuuzi wakubwa nyie. Leo nimeamua kuwatoleeni huu Uvivu. Boga, Kitunguu, Maziwa na Mrindi na Bamia wapi na wapi? Hivi nyie mnajua kuna siku mtakuja kusababisha wanaume wale Mseto wa sumu kwa ajili ya huu Uwongo na Utapeli wenu kisha wafe?

Mnapoelekea sasa mtakuja kutuambia tuwe tunachanganya Makohozi yetu na haja ndogo ili nguvu zetu za kiume ziwe juu.
 
Eti ili Mwanaume uwe vizuri na Nguvu za Kiume ziwe nyingi unatakiwa kutafuta Boga kisha unaweka Mafuta ya Kupikia uncchanganya na Vitunguu na wakati ukiwa Unavikaanga unachanganyia na Maziwa ya Mtindi humo humo na ikikaribia Kuiva ukakatiakata na Bamia kisha unapakuwa na Kula.

Sikilizeni nyie Wataalam wa Lishe ni hivi tumeshawachokeni kwakweli kwa sasa na hizi Elimu zenu za Bahati Nasibu Uongo Kunoga mnazotoa Kwetu Wanaume kila Siku na mkifanya mzaha kuna Siku mkikutana nasi Vichwa Vibovu tusiotaka huu huu Upuuzi Upuuzi wenu tutawapigeni sawa?

Kudadadeki GENTAMYCINE Mseto wangu Tukuka mbele ya Mbunye yoyote iliyoko mbele yangu ni ule ule tu wa enzi zetu wa Kunywa Maji mengi, kupata muda wa kutosha wa Kupumzika, kula Ndizi mbivu, Mtindi huku nikitafuna ama Karanga au Muhogo mbichi na nikihakikisha Mfukoni na katika Akaunti zangu ni Hela za kutosha.

Wapuuzi wakubwa nyie. Leo nimeamua kuwatoleeni huu Uvivu. Boga, Kitunguu, Maziwa na Mrindi na Bamia wapi na wapi? Hivi nyie Wapuuzi mnajua kuna Simu mtakuja kusababisha Wanaume wale Mseto wa Sumu kwa ajili ya huu Uwongo na Utapeli wenu kisha wafe?

Mnapoelekea sasa mtakuja kutuambia tuwe tunachanganya Makohozi yetu na Mkojo ili Nguvu zetu za Kiume ziwe juu.
Wamekuingiza Chaka?
 
Eti ili Mwanaume uwe vizuri na Nguvu za Kiume ziwe nyingi unatakiwa kutafuta Boga kisha unaweka Mafuta ya Kupikia uncchanganya na Vitunguu na wakati ukiwa Unavikaanga unachanganyia na Maziwa ya Mtindi humo humo na ikikaribia Kuiva ukakatiakata na Bamia kisha unapakuwa na kula.

Sikilizeni nyie Wataalam wa Lishe ni hivi, tumeshawachokeni kwakweli kwa sasa na hizi Elimu zenu za Bahati Nasibu Uongo Kunoga mnazotoa kwetu wanaume kila siku.

Kudadadeki GENTAMYCINE Mseto wangu Tukuka mbele ya Mbunye yoyote iliyoko mbele yangu ni ule ule tu wa enzi zetu wa kunywa maji mengi, kupata muda wa kutosha wa kupumzika, kula ndizi mbivu, mtindi huku nikitafuna ama karanga au Muhogo mbichi na nikihakikisha mfukoni na katika akaunti zangu ni hela za kutosha.

Wapuuzi wakubwa nyie. Leo nimeamua kuwatoleeni huu Uvivu. Boga, Kitunguu, Maziwa na Mrindi na Bamia wapi na wapi? Hivi nyie mnajua kuna siku mtakuja kusababisha wanaume wale Mseto wa sumu kwa ajili ya huu Uwongo na Utapeli wenu kisha wafe?

Mnapoelekea sasa mtakuja kutuambia tuwe tunachanganya Makohozi yetu na haja ndogo ili nguvu zetu za kiume ziwe juu.
Naunga mkono hoja maana hawa watu wamekuwa wengi utadhani kuna chuo wameenda kusomea. Kila leo kila mtu anaibuka na lake ili mradi tu auze. Lakini hizo nguvu zenyewe zisemwazo kupungua visababishi sio lishe
 
Eti ili Mwanaume uwe vizuri na Nguvu za Kiume ziwe nyingi unatakiwa kutafuta Boga kisha unaweka Mafuta ya Kupikia uncchanganya na Vitunguu na wakati ukiwa Unavikaanga unachanganyia na Maziwa ya Mtindi humo humo na ikikaribia Kuiva ukakatiakata na Bamia kisha unapakuwa na kula.

Sikilizeni nyie Wataalam wa Lishe ni hivi, tumeshawachokeni kwakweli kwa sasa na hizi Elimu zenu za Bahati Nasibu Uongo Kunoga mnazotoa kwetu wanaume kila siku.

Kudadadeki GENTAMYCINE Mseto wangu Tukuka mbele ya Mbunye yoyote iliyoko mbele yangu ni ule ule tu wa enzi zetu wa kunywa maji mengi, kupata muda wa kutosha wa kupumzika, kula ndizi mbivu, mtindi huku nikitafuna ama karanga au Muhogo mbichi na nikihakikisha mfukoni na katika akaunti zangu ni hela za kutosha.

Wapuuzi wakubwa nyie. Leo nimeamua kuwatoleeni huu Uvivu. Boga, Kitunguu, Maziwa na Mrindi na Bamia wapi na wapi? Hivi nyie mnajua kuna siku mtakuja kusababisha wanaume wale Mseto wa sumu kwa ajili ya huu Uwongo na Utapeli wenu kisha wafe?

Mnapoelekea sasa mtakuja kutuambia tuwe tunachanganya Makohozi yetu na haja ndogo ili nguvu zetu za kiume ziwe juu.
Mwanamke km anataka dose aweke Hela za kutosha mfukoni mwa mume sensor za kujiamini, (confidence) ziamke na damu lazima itatembea haraka, hapo hata mtoto anaweza bembea
 
Eti ili Mwanaume uwe vizuri na Nguvu za Kiume ziwe nyingi unatakiwa kutafuta Boga kisha unaweka Mafuta ya Kupikia uncchanganya na Vitunguu na wakati ukiwa Unavikaanga unachanganyia na Maziwa ya Mtindi humo humo na ikikaribia Kuiva ukakatiakata na Bamia kisha unapakuwa na kula.

Sikilizeni nyie Wataalam wa Lishe ni hivi, tumeshawachokeni kwakweli kwa sasa na hizi Elimu zenu za Bahati Nasibu Uongo Kunoga mnazotoa kwetu wanaume kila siku.

Kudadadeki GENTAMYCINE Mseto wangu Tukuka mbele ya Mbunye yoyote iliyoko mbele yangu ni ule ule tu wa enzi zetu wa kunywa maji mengi, kupata muda wa kutosha wa kupumzika, kula ndizi mbivu, mtindi huku nikitafuna ama karanga au Muhogo mbichi na nikihakikisha mfukoni na katika akaunti zangu ni hela za kutosha.

Wapuuzi wakubwa nyie. Leo nimeamua kuwatoleeni huu Uvivu. Boga, Kitunguu, Maziwa na Mrindi na Bamia wapi na wapi? Hivi nyie mnajua kuna siku mtakuja kusababisha wanaume wale Mseto wa sumu kwa ajili ya huu Uwongo na Utapeli wenu kisha wafe?

Mnapoelekea sasa mtakuja kutuambia tuwe tunachanganya Makohozi yetu na haja ndogo ili nguvu zetu za kiume ziwe juu.
Uwekezaji/biashara ni fursa, so wanaume tumekua fursa kwa wengine kujipatia kipato, nguvu za kiume nguvu za kiume, badilisheni lifestyle itawasaidia
 
Kuna mchanganyiko nimeelekezwa ngoja niufanyio majaribio..
Saga papai na mbegu zake ...peanutbutter...mtindi ......na mbegu za maboga.
 
Back
Top Bottom