Tetesi: Tumetapeliwa na Skyinvestiment tunaomba muongozo hatua za kuchukua

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,458
Habari wanajamvi? Natumaini mko salama.
Kama kichwa kisemavyo mwaka jana mwez kama wa 8 nilijiunga na kampuni ya uwekezaji sky investment baada ya kuona uzi huku na pia nikaridhika na njia zao jinsi wanavyofaidika hadi kugawana faida na wawekezaji wengine.
Baada ya kuingia walijiunga watu wengi sana hivyo kampuni ilizidiwa.. Wakawa hawalipi watu wanaomaliza mikataba yao wakidai coin zimeshuka thamani kwaio watu wasubiri watalipwa. Na ajab ni kuwa haukutakiwa kuhoji sana kwani acc yako inaweza kufungwa na ukapata hasara. Kwaio ukiambjwa subiri unatakiwa kuwa mtulivu kweli.
Muda ulisonga kila mtu akawa mpole akitegemea atalipwa lakini cha kushangaza mwishoni mwa mwezi wa 2 sky walifunga account zao zote website, group telegram na channel yao pia.
Kuna watu wametia pesa nyingi sana kule wengine $500 kila mtu aliweka kulingana na uwezo wake.
Sasa ndio hivyo no za waanzilishi bado tunazo na ofisi yao ipo Mwanza, tunazie wapi ili kupata stahiki zetu?, asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole mkuu hii ina kila dalili kuwa ni pyramid scheme,common sense mkuu if its to much to be TRUE ujue ni kweli,hakuna utajiri wa harakaharaka ,tumia elimu yako ikuongoze sio mihemiko
 
Habari wanajamvi? Natumaini mko salama.
Kama kichwa kisemavyo mwaka jana mwez kama wa 8 nilijiunga na kampuni ya uwekezaji sky investment baada ya kuona uzi huku na pia nikaridhika na njia zao jinsi wanavyofaidika hadi kugawana faida na wawekezaji wengine.
Baada ya kuingia walijiunga watu wengi sana hivyo kampuni ilizidiwa.. Wakawa hawalipi watu wanaomaliza mikataba yao wakidai coin zimeshuka thamani kwaio watu wasubiri watalipwa. Na ajab ni kuwa haukutakiwa kuhoji sana kwani acc yako inaweza kufungwa na ukapata hasara. Kwaio ukiambjwa subiri unatakiwa kuwa mtulivu kweli.
Muda ulisonga kila mtu akawa mpole akitegemea atalipwa lakini cha kushangaza mwishoni mwa mwezi wa 2 sky walifunga account zao zote website, group telegram na channel yao pia.
Kuna watu wametia pesa nyingi sana kule wengine $500 kila mtu aliweka kulingana na uwezo wake.
Sasa ndio hivyo no za waanzilishi bado tunazo na ofisi yao ipo Mwanza, tunazie wapi ili kupata stahiki zetu?, asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni wale walikua wanatrade forex pesa za watu?
 
utapeli hautakaa kuisha kwa sababu kuna soko kubwa la watu wanaopenda kutapeliwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom