Tumeacha ushabiki kwa Simba SC mpaka haya yafanyiwe kazi

k-bee

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
939
1,019
Rejea mada tajwa ...Mimi K-BEE shabiki nguli wa MNYAMA(Simba Sport Club) na JAMII ya MGUDA kwa ujumla kwa miaka mingi tumekuwa tunaishabikia Simba SC ila sasa tunajivua Ngozi ya simba na muda huo wa kuitazama Simba bora tukae na K-bee juniors(daughter and son) tucheze nao ili wamfurahie baba yao na Jamii yao.....!
Mambo ni mengi na changamoto ni nying miongoni mwayo ni kama zifuatavyo:-

1) Timu kuwa na Kocha Msaidizi wa kudumu..kuwa na kocha msaidizi wa kudumu ni JIPU ambalo Viongozi na menejiment ya simba sc bado haijang'amua akipishana na kocha mkuu anapanda mbegu kwa wachezaji ili Kocha atimuliwe kozi anajua yeye atabaki
'SIMBA FUKUZA NA MATOLA HATUMTAKI'

2) Viongozi kushindwa kuwajibika na kupishana kauli....Mwenendo wa timu mbovu kiongozi bado unang'ang'ania madaraka hafu huna PLANI B timu inazidi kuzolota hafu MNAMTOA KAFARA CEO WA TIMU.....!! Wajumbe wa timu piganieni TIMU kwa Moyo sio vijise nt mnavyohaidiwa na viongozi MASHABIKI TUNAUMIA mpaka sasa tunashindwa hata kuleta UPINZANI chumbani
"WAJUMBE TUONDOLEENI VIONGOZI WASIO NA UCHUNGU NA TIMU"

3) MASHABIKI tunahitaji MAKOCHA kusikilizwa mahitaji yake na kufanyia KAZI....Niseme tu VIONGOZI wa SIMBA SC mmemdhalilisha sana BENCHIKA.......! Benchika uwe na safar njema tuliza moyo BONGO inamambo meng..!!

"KOCHA APEWE MADARAKA KUCHAGUA NA KUPENDEKEZA MCHEZAJI NA KUSIKILIZWA"

4) MASHABIKI tunahitaji MASKAUT wenye uchungu na TIMU na sio wale wapiga DILI wazee wa 10%...

Tumechoka Tumechoka KWAHERI MASHABIKI WENZETU WA SIMBA SC Tutaonana tena KIJIWENI na kwenye VIBANDA UMIZA kama MENEJIMENT ya SIMBA itafanyika kazi maoni YETU....!!
"Tunaitakia Simba mabadiliko Mema kwa mafanikio zaidi"

#VivaJamiiYaMguda #VivaSimbaSportClub
 
Ninyi mashabiki wa Dar mlituwekea yule mzee mangungo halafu leo mnakuja na porojo.

Hapa sio matola ni mangungo na try again.
Hawa ndio kiini cha matatizo.
 
Kalpana na wewe uje uteme nyongo huku. Siyo unajifariji tu. Msipokuwa makini msimu huu mtashika nafasi ya tatu. Shauri zenu.
Na kipenzi chenu Chama ndiyo ameshafungiwa mechi 3 kwa kumkanyaga kwa makusudi Nickson Kibabage kwenye mchezo wa derby.
 
Ila hivi kwanini huwa anafanya vile,?? Yani unamkanyaga mtu mara mbili kweli?
 
Hawezi kufeli kocha peke yake. Ilitakiwa mfumo mzima ufumuliwe. Hapa ndip tatizo la kitaifa.
 
Ni wewe ndio umeacha.

Tafuta pesa ndio utaweza kumjadili Boss Mo.

Umasikini mbaya sana.
 
Rejea mada tajwa ...Mimi K-BEE shabiki nguli wa MNYAMA(Simba Sport Club) na JAMII ya MGUDA kwa ujumla kwa miaka mingi tumekuwa tunaishabikia Simba SC ila sasa tunajivua Ngozi ya simba na muda huo wa kuitazama Simba bora tukae na K-bee juniors(daughter and son) tucheze nao ili wamfurahie baba yao na Jamii yao.....!
Mambo ni mengi na changamoto ni nying miongoni mwayo ni kama zifuatavyo:-

1) Timu kuwa na Kocha Msaidizi wa kudumu..kuwa na kocha msaidizi wa kudumu ni JIPU ambalo Viongozi na menejiment ya simba sc bado haijang'amua akipishana na kocha mkuu anapanda mbegu kwa wachezaji ili Kocha atimuliwe kozi anajua yeye atabaki
'SIMBA FUKUZA NA MATOLA HATUMTAKI'

2) Viongozi kushindwa kuwajibika na kupishana kauli....Mwenendo wa timu mbovu kiongozi bado unang'ang'ania madaraka hafu huna PLANI B timu inazidi kuzolota hafu MNAMTOA KAFARA CEO WA TIMU.....!! Wajumbe wa timu piganieni TIMU kwa Moyo sio vijise nt mnavyohaidiwa na viongozi MASHABIKI TUNAUMIA mpaka sasa tunashindwa hata kuleta UPINZANI chumbani
"WAJUMBE TUONDOLEENI VIONGOZI WASIO NA UCHUNGU NA TIMU"

3) MASHABIKI tunahitaji MAKOCHA kusikilizwa mahitaji yake na kufanyia KAZI....Niseme tu VIONGOZI wa SIMBA SC mmemdhalilisha sana BENCHIKA.......! Benchika uwe na safar njema tuliza moyo BONGO inamambo meng..!!

"KOCHA APEWE MADARAKA KUCHAGUA NA KUPENDEKEZA MCHEZAJI NA KUSIKILIZWA"

4) MASHABIKI tunahitaji MASKAUT wenye uchungu na TIMU na sio wale wapiga DILI wazee wa 10%...

Tumechoka Tumechoka KWAHERI MASHABIKI WENZETU WA SIMBA SC Tutaonana tena KIJIWENI na kwenye VIBANDA UMIZA kama MENEJIMENT ya SIMBA itafanyika kazi maoni YETU....!!
"Tunaitakia Simba mabadiliko Mema kwa mafanikio zaidi"

#VivaJamiiYaMguda #VivaSimbaSportClub
Viongozi wa Simba wapo kwenye zama za mawe!!!!
Wangese sana,wanatutia aibu na fedheha mitaani!!!
 
Ila hivi kwanini huwa anafanya vile,?? Yani unamkanyaga mtu mara mbili kweli?
Kiukweli wachezaji wanatakiwa kupewa elimu ya fair play. Kumuumiza mchezaji mwenzako kwa makusudi siyo poa hata kidogo. Mpira ni ajira.
Mchezaji akikaa nje kwa sababu ya majeraha, na kiwango chake ndani ya uwanja kinaathirika.
 
Kwani wewe usipoishabikia Simba unafikiri MO 29 atapata hasara. Au wewe ukiishabikia Simba timu inapata faida gani kutoka kwako
 
Kiukweli wachezaji wanatakiwa kupewa elimu ya fair play. Kumuumiza mchezaji mwenzako kwa makusudi siyo poa hata kidogo. Mpira ni ajira.
Mchezaji akikaa nje kwa sababu ya majeraha, na kiwango chake ndani ya uwanja kinaathirika.
Alihitaji adhabu kali ....sema hapa Tanzania kuna wachezaji Simba na Yanga hawashikiki yani ni kama TFF inapata mgao ktk kwao...
 
Kalpana na wewe uje uteme nyongo huku. Siyo unajifariji tu. Msipokuwa makini msimu huu mtashika nafasi ya tatu. Shauri zenu.
Na kipenzi chenu Chama ndiyo ameshafungiwa mechi 3 kwa kumkanyaga kwa makusudi Nickson Kibabage kwenye mchezo wa derby.
Simba kawa Nyau.....#Viongozi wanajua kutia hela mfukon tu
 
Hawezi kufeli kocha peke yake. Ilitakiwa mfumo mzima ufumuliwe. Hapa ndip tatizo la kitaifa.
Ndivyo tulivyotoa maoni yetu...Kocha "Matola" naye atimuliwe na viongozi nao waachie ngazi...!
 
Viongozi wa Simba wapo kwenye zama za mawe!!!!
Wangese sana,wanatutia aibu na fedheha mitaani!!!
Usijali mabadiliko yatafika tu....!! Ila miaka 3 moto umewaka now tifanye kazi tuongeze kipato cha familia na binafsi
 
Back
Top Bottom