Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 38,267
- 47,482
Ni jambo la busara tume ya uchaguzi ikaangalia na upande wa kupunguza majimbo pia badala ya kuyaongeza tu kila wakati, wajibu wa kugawanya majimbo ina maana ni kuyaongeza na kuyapunguza pia.
Kuna majimbo watu au wapiga kura wanahama na kupungua mfano huko Ngorongoro ambako Wamasi wanahamishwa, majimbo ya huko yanatakiwa kupunguzwa sasa.
Tume ya uchaguzi ingefanya angalau mbunge mmoja awakilishe watu 200,000. Majimbo yenye idadi chini ya watu laki mbili yaunganishwe na majimbo mengine.