Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

HERI YA SIKUKUU YA KRISMAS WADAU,

Uzi huu ni wa kutuma salamu za krismas kwa Wadau wawili hapa jamvini, haijalishi dini, dhehebu, wala kabila lake...

Malizia na ujumbe "Nampenda Sana"

Mimi naanza kutuma salamu kwa Mtu wangu wa karibu Heaven Sent pamoja na Mohamed Said

Ujumbe : Nawapenda sana
1.To yeye

2. Cocastic

Hamna baya na mtu hapa jf
Nawapenda sana.
 
H

Huu uzi utakavyowabadilikia
Mtafungua gift za ban leo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

NB: Serikali inatakiwa kupewa tips on how to cure HIV and AIDS.
Ni Tanzania pekeyake mgonjwa wa ukimwi anapona.
Itabidi waisaidie dunia sasa.

Ni kichaa pekeyake anaweza kurudi lilipo gono sugu.

2023 mwaka wa maajabu sana.
 
Naona mnanichanganya tu. Ghafla boxing day mnaanza kutoa ushuhuda wa gono. Hebu elezeeni kwa uwazi. Au ni wewe?๐Ÿ˜…
Kuna watu wamepona gono sugu na Ukimwi.

Kumbe ugonjwa unatibika na watu hawasemi wanaacha wenzao wanateseka, watu wasiri sana.
 
Nani amepona gono sugu? Apande madhabauni tusikie ushuhuda wake. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Na mbona umemtag D? Au ndio huyo?
Kwani aposto huna habari?
Wewe si ndio baba maombi๐Ÿ˜

Aposto upo muujiza mwingine

Aposto: Enhee tuambie

Kuna mwamba kumbe alikuwa anafukuzia gono aisee

Aposto:Sema Ayayaaaa
 
Sihangaiki na wapagani,

Lakini wanaojiita wakristo wa kuigiza, hao ni halali yangu.

Pia ujue Si wote wanajua Kweli kuwa Yale ni masanamu na mafundisho ya Uongo.

ELIMU lazima, maonyo na makaripio!!
Kama ni hivyo unapigana vita ambayo tayari umesha shindwa na huyo unaye Jaribu kumpigania Alisha sema yeye hspiganiwi. Huwa anajipigania yeye mwenyewe. So preserve your energy to walk towards the promised land ( Canaan). Other wise 'utafika ukiwa taaban'.
 
Kuna watu wamepona gono sugu na Ukimwi.

Kumbe ugonjwa unatibika na watu hawasemi wanaacha wenzao wanateseka, watu wasiri sana.
Naona nimeingia kwenye mtumbwi wa vibwengo. Sielewi kabisa code zenu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom