GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,509
Kwa Mechi zangu Tatu tu nilizotulia na Kumtizama Kiufundi Guede nimelazimika kuuweka pembeni Usimba wangu na Kubakia Mwanamichezo na Mchambuzi kwa kusema kuwa hakika Yanga SC wamepata Mshambuliaji wa uhakika ambaye Natabiri atakuja kuwasaidia mno.
Receiving yake, Positioning yake, Anticipation yake, Striking Concentration yake, Passing and Dribbling ability yake, Pace and Sprinting level yake, Striking Intelligence yake, Indurance yake, Body yake, Football Intelligence yake na Fitness yake inanilazimu leo GENTAMYCINE kuwapongeza tena Scouts wa Yanga SC na kuwapigia Salute kwani wameendelea kuonyesha kuwa Yanga SC wanamaanisha na watafika mbali kuliko Kwingineko ambako wanatusajilia Michezaji mibovu na ambayo mingine ikiwa inakimbia utadhani Inaharisha au inataka Kuukweka / Kunya ( Fred ) na Mwingine akiwa anakimbiakimbia tu hovyo Uwanjani ( Job ) kama yule Mwendawazimu wa Ilala Shariff Shamba aitwae Boss Niga.
Kama Mwenyezi Mungu anasikia Dua yangu GENTAMYCINE basi namuomba sana Mechi ya mzunguko wa Pili ya Sisi Simba SC na Yanga SC katika Ligi Kuu ya NBC afanye kila awezalo ili huyu Mshambuliaji mpya wa Yanga SC Guede niliyeugundua Uhatari wake Kiufundi awe anaumwa Malaria Kali au apate Kipindupindu ghafla na asicheze kwani kwa nilivyomuona na aina ya Mabeki wa Simba SC walivyo naiona Hat Trick mguuni mwake huku Pacome akiendelea Kutakata kwa Kutusumbua katikati ya Uwanja hadi tukome.
Hivi ukiwa na Akili timamu kweli unaweza Kuwaacha Leading Strikers wako Wawili Baleke na Phiri na ukafanya Gamble ( Bahati Nasibu ) ya kuja na Washambuliaji wapya Wawili? Kwanini asingeachwa Mmoja tu ili abakie Mkongwe mmoja wa kuja Kusaidiana na huyu Mgeni?
Tatizo Kubwa la Simba SC yangu ni Viongozi Waandamizi na Watendaji wa Kamati ya Usajili kupenda mno 10% huku Mwekezaji wetu nae pamoja na kuwa Tajiri ila ni kama vile Kilevi cha Copa Cabana ( Grade One ) kutoka Brazil anachokitumia kwa Siri sana Kinamdatisha Kichwa na kuonekana kama Mpuuzi fulani vile na Tajiri Bwege Bwege.
Yanga SC watatuzidi kila Idara hadi tukome na tujue kuwa Simba SC ya sasa haina Viongozi bali ina Wahuni, Matapeli na Wapigaji Waandamizi.
Fred na Job hakuna Kitu tumepigwa. Kwanini Baleke na Phiri waliachwa Wote na Mmoja hakubakishwa Kikosini?