rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,413
Ujinga mwingine huo, eti wakenya wapewe passport za Tanzania ili kuweza kusafiria nchi za SADC kirahisi.
Tukatae kwa nguvu zote na kama Rais wetu akikubaliana na huo ujinga tuhakikishe tunakataa kwa nia moja na kwa umoja.
Hiyo ni mojawapo ya ajenda zitakazojadiliwa na wafanyabiashara wa Kenya na Rais wetu.
Tunarudi kulekule tulikotoka ndugu zangu, tunapiga hatua moja mbele tunarudi hatua tatu nyuma.