Tujiandae na harufu za uvundo kutokana na nguo kutokukauka

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,561
21,546
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Sasa msimu wa mvua ndo huo umeanza yaani shikamoo mvua!

Msimu huu ni msimu ambao kwa suala la kufua nguo hua ni mgumu sana.

Sababu inayopelekea kuwa mgumu ni kwakuwa nguo zikifuliwa hazikauki.

Sasa ukutane na mtu aliyevalia nguo hizo huwa harufu yake ni mbaya.

Uvundo huwa unanuka vibaya mno, hapa najua kuna ambao washasikia hizo harufu.

Iwe ni kwenye gari la umma basi unaweza tamani kushika ili usisikie.

Hata maofisini pia unakuta mtu mmekaa nae ananuka kauvundo uvundo.
 
Iwe ni kwenye gari la umma basi unaweza tamani kushika ili usisikie..

Hata maofisini pia unakuta mtu mmekaa nae ananuka kauvundo uvundo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Sasa msimu wa mvua ndo huo umeanza yaani shikamoo mvua!

Msimu huu ni msimu ambao kwa suala la kufua nguo hua ni mgumu sana.

Sababu inayopelekea kuwa mgumu ni kwakuwa nguo zikifuliwa hazikauki.

Sasa ukutane na mtu aliyevalia nguo hizo huwa harufu yake ni mbaya.

Uvundo huwa unanuka vibaya mno, hapa najua kuna ambao washasikia hizo harufu.

Iwe ni kwenye gari la umma basi unaweza tamani kushika ili usisikie.

Hata maofisini pia unakuta mtu mmekaa nae ananuka kauvundo uvundo.
Uzuri wa JAMII FORUMS kila mtu ana mashine ya kufulia nguo na kukausha 😀😀😀Kwahiyo wanakuchora tu
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Sasa msimu wa mvua ndo huo umeanza yaani shikamoo mvua!

Msimu huu ni msimu ambao kwa suala la kufua nguo hua ni mgumu sana.

Sababu inayopelekea kuwa mgumu ni kwakuwa nguo zikifuliwa hazikauki.

Sasa ukutane na mtu aliyevalia nguo hizo huwa harufu yake ni mbaya.

Uvundo huwa unanuka vibaya mno, hapa najua kuna ambao washasikia hizo harufu.

Iwe ni kwenye gari la umma basi unaweza tamani kushika ili usisikie.

Hata maofisini pia unakuta mtu mmekaa nae ananuka kauvundo uvundo.
Utapply 10 perfumes rafiki unukie zaidi ya jini.
 
Back
Top Bottom