Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 303
- 417
- Thread starter
- #81
We huwezi dumu kazini kwa huo mdomo!!Mm ndo nilikuwa nataka hivyo mkuu.. it was unfair
Kama ukiwa unafuatilia mambo ya watu kiasi iko lazima siku utayapat usiyoyataka
We huwezi dumu kazini kwa huo mdomo!!Mm ndo nilikuwa nataka hivyo mkuu.. it was unfair
Kwa hiyo jf kazini? Kazini kufanya nn mkuu mpaka nidumu?We huwezi dumu kazini kwa huo mdomo!!
Kama ukiwa unafuatilia mambo ya watu kiasi iko lazima siku utayapat usiyoyataka
Expert Ni top manyota🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kati ya Senior na Expert member nani ni nani
Je Mimi Nina wadhfa gan hapa jf na mie niangalizieExpert ni mdogo, senior mkubwa mkuu mbona jamaa hawaplay fear. Ukitoka kubwa member wa kawaida unakuwa expert
Kalaga bahoukiwa jiran yangu mi nakutoa ndagu😀😀😀hovyo sana ww jamaa!
mwanaume kolomeo
Cookie huyu naye kula kichwa hapa anatutambia 😁Je Mimi Nina wadhfa gan hapa jf na mie niangalizie
Expert ni mdogo wakuu, senior ni mkubwaExpert Ni top manyota🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kuna mbea wa jf mmoja Kalaga baho hajakuona!!Je Mimi Nina wadhfa gan hapa jf na mie niangalizie
kweli kwa mdomo huo ni haki kabisa ulikua una haki ya kufunga Profile au kuweka private!!Expert ni mdogo wakuu, senior ni mkubwa
Mie huwa nampenda mmbea coz anasema kweli japo kuwa tatizo lake hakuna mtu alomuulizakuna mbea wa jf mmoja Kalaga baho hajakuona!!
Jamaa n mbea sana
hujawai kuwa na dili hafu mmbea akaunguza picha??Mie huwa nampenda mmbea coz anasema kweli japo kuwa tatizo lake hakuna mtu alomuuliza
picha ni inboboMbna hakina picha yahiyo nyumba
Tuma nionepicha ni inbobo
haya!!Tuma nione
Sauwaaaa 😁. Huyoooo! Nye Nye Nye! Kwisha kaziMkuu fungua profile tujue huwa unapost nn??
maana hii kesi ni ngumu
mimi ni senior wako naomba heshima yangu
Mkuu ,mi binafsi sina hamu naww😂😂😂Sauwaaaa 😁. Huyoooo! Nye Nye Nye! Kwisha kazi