TRY AGAIN: Rais wa FIFA Gianni Infantino aliniambia Timu ya simba inacheza vizuri kuliko Mamelod sundown na Wydad

20231115_181446.jpg
 
Ngoja tufanye hesabu za cross multiplication

Simba anacheza vizuri kuliko waydad, mamelodi na Al ahly

Simba anayecheza vizuri.....kagongwa 5....1 na Yanga

There fore Yanga ndo mbabe wa wote Kati ya wydad Casablanca, kolo, Al ahly na mamelodi

Mathematically

Wydad + mamelodi + kolo + Al ahly = Yanga

Ungeanzia ligi ya ndani,IHEFU AMEMKANDA YANGA X2,simba AMEMKANDA IHEFU X2....Yanga anamfungaje simba kama sio kwa uchawi.?
 
... ๐Ÿ™† | ๐—ฆ๐—œ๐— ๐—•๐—” ๐—ญ๐—”๐—œ๐——๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐— ๐—˜๐—Ÿ๐—ข๐——๐—œ

"Nilipokuwa VIP kwenye fainali ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE, Raisi wa FIFA Gianni Infantino aliniambia timu yenu (Simba SC) inacheza mpira mzuri zaidi ya wanaocheza Mamelodi Sundowns๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ na Wydad Casablanca ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kwenye AFL"

ยฉ๏ธ Salim Abdallah (Try Again)
Kupitia Azam sports 2 hd
Manina simba hii hii ya mo tajiri maneno ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ labda simba wa yuda
 
Back
Top Bottom