Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Nina doc.za kutoa mizigo zimekwama Airport toka tar.10/02/2014 zipo airport nimehangaika DHL, TNT na FEDEX wanasema TRA wanakagua haingii akili bahasha yenye BL ikaguliwe wiki nzima na tena wiki inayo fuata kila nikiangalia kwenye mtandao naona Clearance event toka j3 mpaka leo kweli? Serikali ipo serious au mnataka kuyaua haya makampuni ya kusafirisha doc na vifurushi?