Tra online application,access denied!!!!

This people are not serious kabisa hapo watarekebisha tar siku moja kabla ya deadline ! Poleni sana kaka
 
Fuata maelekezo ya Vitendo hapo juu nenda kwenye web yao,ukitumia link ya moja kwa moja iliyoko zoom inagoma.
 
Last edited by a moderator:
Iv tra tuna apply online au kuptia posta?
Wamechoshwa na makaratasi mengi ofisini kwao maana wanajua kazi zilishachukuliwa na wenyewe kwa hiyo mkiaply online hata hawafungui kusoma isipokuwa deadline ikifika wanafuta zile application zote ready for another application
 
Nenda homepage kwenye heading ya do it online utaona link ya job application

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mmmmhh, TRA kuna mambo, mi nilipeleka barua kwa boss akairekebisha akasema barua zetu zinaandikwa hivi, nikaenda nikairudia akasema sasa mambo ni fresh. Mpaka leo sijawahi itwa. Mambo hayo
 
Back
Top Bottom