The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Most Wins in First Premier League Matches:

1. Pep Guardiola - 221
2. Jose Mourinho - 189
3. Jurgen Klopp - 188
4. Alex Ferguson - 183

The Greatest PL Manager!
1809423436.jpg
 
We have the history of PREMIUM LEAGUE....that why Sina wasiwasi kabisa na Arsenal mim .....

Premium league means MAN CITY

Arsenal dragging one point with us, they want to see what Liverpool felt on the last day
When Alex Ferguson couldn't believe City did a comeback against QPR
The famous Gerrard slipped

"Balotelli... to Kun Agueroo, Agueroooooooooooo!!!!!!"
"From the brink of despair, elation, cacaphonic joy"

We'll use Arsenal to create another poetry
Never felt more like singing the blues,
954511100.jpg
 
Pep Guardiola: “I’m not going to change my opinion [on my team] if we do or don’t win the [Premier League or FA Cup]. No chance. I love them so much!”, as per BeanymanSports.
 
Kompany apokee tu vipigo mpaka ashuke daraja aonje uchungu wake. Hili litamsaidia sana kuwa kocha bora. Akipona pia atajifunza ila kwa maumivu aliyogawa kwa premier league kwa miaka mingi akiwa mchezaji, acha tu ashuke daraja kwanza.
 
Ni kipindi cha kwanza .
Ubao unasoma halland 3
ili mpunguze presha title run inawabidi mpunguze game ya GD na hilo ndilo analowahimiza sana pep kwa vijana wake

mbali na hapo mki draw tu na spurs presha yenu yakushinda nyingi mmechi sawa GD na arsenal itapelekea downfall yenu
 
wakulima washapewa matuta mawili ya kupalilia ukame wa mazao kwenda kwa mkulima wao aliozoea kilimo cha matuta
 
ili mpunguze presha title run inawabidi mpunguze game ya GD na hilo ndilo analowahimiza sana pep kwa vijana wake

mbali na hapo mki draw tu na spurs presha yenu yakushinda nyingi mmechi sawa GD na arsenal itapelekea downfall yenu

Watashinda mechi zote. GD siyo shida kwao. Hawa wahuni nawakubali kwenye kuhakisha wanashinda hatua za mwisho. Ukiona wamepoteza ni kwa sababu wameshapata ubingwa. Ila kama bado, hawawezi kupoteza game.
 
at least wewe ni mmoja wa arsenal fan upo sincerely
 
Mim Sina pressure na game zilizobaki ....

Najua matumain ya Arsenal Ni Spurs ,lakin Huyo Spurs tutamfanya kitu mbaya Sana ..

No hope

Arsenal watajuta wenyewe kile kichapo cha Astonvilla ..

Kiufupi Astonvilla alishatusaidia ,saizi imebaki Sisi kujisaidia....
 
😄😄😄😄 Villa alikulegezea kamba wewe ila sisi sasa....
 
Hii jf app mbona imekuwa ya hovyo hivi wakuu ,yaani app inafanana na browser...

Bora niwe nashinda tweeter sasa
 
😄😄😄😄 Villa alikulegezea kamba wewe ila sisi sasa....
Mkuu sijui mlishindwa kupiga hesabu mapema ,mkaleta mapuuza ...

Mkapoteza game ya Astonvilla mkaona Ni kawaida sanaa 😂....

Kwa MTU anayeona mbali Ile game ya Astonvilla ilikuwa sio ya kucheka na unai kabisa ...
 
Back
Top Bottom