Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
Makolo kila siku wanafanya kazi ya kuipa Yanga promo!Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
View attachment 2678325
Fabrice haendi Simba wala haendi Yanga acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao.Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
View attachment 2678325
GENTAMYCINE asikie na aelewe hii kauliSawa ligi ikianza tusisikie habari za bahasha Tena
Maana mmesajili vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Okwa umemuweka wapi mkuuMASHABIKI WAPUMBAFU WAKIONGOZWA NA KILE KI BIBI CHA SIMBA, KILE KIMALAYA.
Simba Hadi sasa imeacha wachezaji watatu 3 WA KIGENI.
Mohamed Ottara.
Agastine Okra.
Ismail Sawadogo.
Hivyo Ina nafasi TATU tu za kujaza za wachezaji wa kigeni
Otherwise iache wachezaji kama
4. Peter Banda.
5.Pape SACKHO.
6.Sadio kanute.
Ikiwaacha HAO inakuwa na nafasi 6.
Hivyo itakuwa na asilimia 90% za UBINGWA.
Na nusu Fainali ya CAFCL.
Mkuu na hela akapewa humo humo mambo yakaisha.Duh kwel Simba noma ndege ikiwa angani mazungumzo yakafanyikia humo humo, agent alikua humo humo terms za mkataba zikaweka humo humo!
Kupata vichekesho kama hv bonyeza *666#
🤣🤣🤣Popoma hamna mtu Leo katumia utumbo mpana kufikiriaMkuu na hela akapewa humo humo mambo yakaisha.
Any way mimi nachotaka kujua huyu popoma alimjua huyo mchezaji aloetajwa na Ali kamwe? Je kama ni mwingine?
Kama ndo kilichotokea Huyo mchezaji ni wa ajabu Kweri Kweri (Kwa sauti ya Mwenda). Yaani kapewa mkataba kasoma terms humo humo kakubali , Wakala naye kaletwa kwenye ndege au walimkuta Cairo Airport?Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utaweka wapi Sura yako kwani huyu Mchezaji ulimtambia mno kwamba ndiyo atavaa Jezi #6 ya Yanga SC na hatimaye ameshasinya na Simba SC.
Unaambiwa wakati Watu wa Yanga SC wakimuwahi kumpokea JNIA Terminal III Leo Saa 11 Alfajiri kumbe Wenzao ( Watu ) wa Simba SC Kimafia walimtuma Mtu huko huko alikotoka na akasafiri nae kwa Ndege na Kukaa nae Siti Moja na Kumtolea Mkataba na 'Kuusinyia' huko huko Angani na Kumaliza na Ndege ilipotua tu Mipuuzi ya Jangwani wakiwemo Marafiki zangu Bhinda na Motisha wakijiandaa Kumpokea na Kumbebea Mabegi wakamkosa kwani Yule Mafia wa Simba SC alimpitishia Mlango mwingine kisha akakuta Gari limeshaandaliwa na 'Faster' likaondoka na sasa Mchezaji huyo anayetokea nchi yenye Machafuko kutokana na Marafiki Wakubwa Kusalitiana yuko Kajipumzisha katika Hoteli Moja Kubwa Jijini Dar es Salaam yenye Sifa ya Kubadili Jina lake kila baada ya miaka Mitano au Saba au Kumi.
Kisasi cha Mbuyi Twite kimeshalipwa.
Kudadadeki....!!
Kwani dirisha la usajili limefungwa kwamba hawawezi kumuacha mwingine? 😁😁😁Simba Hadi sasa imeacha wachezaji watatu 3 WA KIGENI. Hivyo Ina nafasi TATU tu za kujaza za wachezaji wa kigeni