TEGETA, DAR: Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ, Vicent Mritaba apigwa risasi 5 na majambazi

Cdf sio cheo
In the past tumewahi kuwa na ma cdf ambao sio generals
Vyeo
1.field martial
2.general
3. LT.General
4.MJ.General
5.BR.general
6.canary
7.LT.canary
8.Major
9.captain
10.LT
11.Half LT
12.Sir Mj
13.Staff Sgt
14.Sgt
15.Corporal
16.Semi/half CP
17.Private
18.Recruit
19.patriot
20.citizen.

Sent using Jamii Forums mobile app
unajua kugoogle eh? wapi warranty officer first and second? Halafu hamna cheo cha half jeshini,k ww!
 
Namwona Magufuli hapa....

Jamaa fasta alifika hospitalini kumwona majeruhi...

Tukio hili ni kama la Tundu Lissu....

Wote wamepigwa risasi tano za miguuni, tumboni, mikononi..... wamejeruhiwa!!

Hawa watu "wasiojulikana" naona wana style ileile ya shooting....

Tofauti na lile la Tundu Lissu kuwa wauaji walikuwa na gari nyeupe - Nissan Patrol, hawa wa mwanausalama wetu huyu walikuwa kwenye pikipiki aina ya Boxer.....!!

Yule yuko Nairobi anaendelea na matibabu, huyu yeye yupo hapahapa anaendelea na matibabu ktk hospitali ya Geshi - Lugalo....

I am smelling something is going on here. Just try to connect the dots, you will clearly understand....

Hotuba inakaribia kukamilika, si muda mrefu Amiri Jeshi mkuu anaweza kuzungumza na tujiandae na hoja tatanishi na kila aina ya vijembe....
 
Hii nchi sasa, kila mahala watu wasiojulikana!......Hebu tushirikiane na Jeshi letu ili tuwatafute kwani maendeleo hayaji katika vurugu
 
Kwa hali ya kisiasa na uchumi kukwama sehemu (siandiki kuhusu uchumi wa maandishi, najikita kwenye mifuko ya wananchi)nchini, ni lazima jamii ipagawe hata kwa visa vidogo.
Sasa hivi hata ukimtazama sana mtu kwa kumkazia macho anajua weye ndiyo umemsababishia hali mbaya ya maisha. Ni vema Watanzania wakapelekwa Nairobi kwa ajili ya matibabu ya msongo wa mawazo.
Hahaha mkuu hakuna namna twende tukatibiwe msongo wa mawazo nairobiii kama dereva wetu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali ya kisiasa na uchumi kukwama sehemu (siandiki kuhusu uchumi wa maandishi, najikita kwenye mifuko ya wananchi)nchini, ni lazima jamii ipagawe hata kwa visa vidogo.
Sasa hivi hata ukimtazama sana mtu kwa kumkazia macho anajua weye ndiyo umemsababishia hali mbaya ya maisha. Ni vema Watanzania wakapelekwa Nairobi kwa ajili ya matibabu ya msongo wa mawazo.
hahaha aise nimeongeza siku hapa maana lipo la kujifunza pia
 
Habari ya jioni wana jukwaa
Majira ya saa kumi kuelekea kumi na moja nilikuwa na kazi fulani mitaa ya Ununio, kuna hotel moja nilikuwa naingia pale. Nikiwa karibu na hii njia inayoingia kwa watengeneza chumvi nimesikia milio kadhaa ya risasi ikirindima na baadaye nikapitwa na pikipiki mbili aina ya Boxer zikiwa speed kali vibaya mno zikiwa na wanaume wawili wawili ingawa sikuweza ona kama wamebeba silaha.

Hivi narudi nipo mitaa ya Giraffe Hotel ndio napata story kuwa kuna majambazi wamempiga risasi afisa wa Jeshi na kawahishwa Hospital.

My Take:
Binafsi nadhani Mahita alipaswa mshauri Sirro namna ya kukabiliana na uhalifu huu wa silaha ambao unazidi tamalaki hapa nchini. Bado nina imani na TISS naamini haya yana mwisho.

UPDATE:

Kwa mujibu wa pansophy,

Meja Jenerali mstaafu wa JWTZ, Vincent Mritaba amepigwa risasi 5 na watu wasiojulikana akiwa anaingia nyumbani kwake, Tegeta Dar es Salaam ambapo watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wamemshambulia kwa risasi Meja Jenerali huyo

Tukio hilo limetokea jioni ya September 11, 2017 wakati Meja Jenerali Mritaba akiwa anaingia getini nyumbani kwake Tegeta ambapo alivamiwa na watu wasiojulikana na kupigwa risasi tumboni, begani na mguuni.

Hadi usiku wa jana Madaktari walikua wanaendelea na upasuaji kutoa risasi tatu tumboni na kushughulikia majeraha mengine katika hospital ya Lugalo.

f55dc5e1423890ba7bc7707c9b724c55.jpg

df5c71a6d26e2989be175a8b17093e17.jpg

20866353eab08bc3b477583c4263568c.jpg

Rais Magufuli amefika hospitali ya Lugalo kumjulia hali

21de150daa018d7608d9a30caee3b8f2.jpg

Rais Magufuli amtembelea Lugalo Meja Jenerali Mstaafu Vicent aliyepigwa risasi huko Tegeta nyumbani kwake
Hao waliompa hilo vazi la doctor mbona kama wamemgeuzia nyuma mbele au ndo lilivyo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Namwona Magufuli hapa....

Jamaa fasta alifika hospitalini kumwona majeruhi...

Tukio hili ni kama la Tundu Lissu....

Wote wamepigwa risasi tano za miguuni, tumboni, mikononi..... wamejeruhiwa!!

Hawa watu "wasiojulikana" naona wana style ileile ya shooting....

Tofauti na lile la Tundu Lissu kuwa wauaji walikuwa na gari nyeupe - Nissan Patrol, hawa wa mwanausalama wetu huyu walikuwa kwenye pikipiki aina ya Boxer.....!!

Yule yuko Nairobi anaendelea na matibabu, huyu yeye yupo hapahapa anaendelea na matibabu ktk hospitali ya Geshi - Lugalo....

I am smelling something is going on here. Just try to connect the dots, you will clearly understand....

Hotuba inakaribia kukamilika, si muda mrefu Amiri Jeshi mkuu anaweza kuzungumza na tujiandae na hoja tatanishi na kila aina ya vijembe....
May be I am too blind to see, the victim does not look like someone who has been gunned down by 5 bullets. Ni ngumu anaonekana kama mgonjwa wa Malaria sioni dalili la jeraha!
 
Afadhali hii kuna watu mmeleta habari hata za kusikia milio ya risasi!

Hivi kweli Dodoma hakuna hata aliyeshuhudia kusikia milio ya risasi kwa idadi ile ya risasi zilizotoboa gari? Mmmh maswali ni mengi kuliko majibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ushawahi kusikia mlio wa risasi mita chache kutoka hapo ulipo? Unaweza kuwa na ujasiri hata wa kuchungulia kinachoendelea? Achilia mbali kupiga picha!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Afadhali hii kuna watu mmeleta habari hata za kusikia milio ya risasi!

Hivi kweli Dodoma hakuna hata aliyeshuhudia kusikia milio ya risasi kwa idadi ile ya risasi zilizotoboa gari? Mmmh maswali ni mengi kuliko majibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi nyie UVCCM bado mpaka leo mnaamini issue ya TL kwamba ni fiction story? Una uhakika hakuna mashuhuda waliosikia milio ya risasi? au wewe hujasikia/hujasoma huo ushuhuda? mbona baadhi ya watanzania mmekuwa zaidi ya shetani siku hizi hata kushabikia raia mwenzenu atolewe uhai simply because haupo kambi moja nae kisiasa? hiyo roho ya chuki mnayoipanda kwa kasi mkimfuata Mwenyekiti wenu taifa mnajua madhara yake at its large? hii ni ishara, mapambano ya hoja mmeishiwa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom