NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,382
- 12,950
kumekua na kasumba ya wasanii wetu tunao waita KIOO CHA JAMII kujirekodi kipindi wakiwa falagha (UTUPU WA MNYAMA) bila ya kujali jamii inawatazama vipi na bila kujali kuwa jamiii ina watoto.
ukichunguza hizo videos na picha wanazo piga ni Dhahiri kabisa wanafanya kwa makusudi maana unakuta wahusika hawajalewa wala hawajalazimishwa na mtu yoyote kisha kuwarekodi la hasha.
kadri siku zinavyozdi kwenda haya mavideo ya utupu yanakua kama fasheni kwa maana wahusika hawachukuliwi hatua za kisheria kana kwamba hili Taifa halina sharia na vyombo vinavyohusika na utandawazi na kusimamia mambo ya wasanii (BASATA) na TCRA .
Nimesikitishwa na msanii ASLAY aliyetamba na kibao chake cha naenda kusema kwa mama na nyinginezo kibao
Aslay alijirekodi mwenyewe kwa akili zake akiwa falagha (AKIFANYA MAPENZI) kisha vido yake hiyoo kufika kwenye jamii.
SWALI ; Je ni nani aliyerusha video hiyo kwenye app ya mange kimambi kama siyo wao wenyewe wahusika??
na urushaji wa video kama hizo kwenye jamii lengo na dhumuni ni nini kama kama siyo makusudi ya kutafuta umaarufu??
MAONI YANGU; Baraza la Sanaa Tanzania na TCRA wanapaswa kuwashughulikia kisheria wasanii wanaofanya mambo ya aibu kama haya tofauti na hivyo tutakua tunatengeneza kizazi cha ajabu sana.