kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,424
- 3,396
Nimekaa nimechunguza nikagundua kuwa tatizo kubwa la ajira na ugumu wake unachangiwa sana na tabia zetu, hutafutiwi kazi kutokana na tabia yako mbaya, kukidai, roho yako mbaya, na mahusiano yako mabaya na majirani zako, marafiki na huna upendo.
Mimi mwaka jana niliacha kazi tisa, na nikapata nyigine ambayo ninayo hadi sana, na hii nikitaka naacha na ninajua nitapata tu, nina connection bora haijawahi tokea, ninaishi vizuri sana na watu, mtu nikimkwaza nimwepesi kujishusha na kuonekana fala, niko mwepesi kutoa msaada, kiujumla mimi najua kuishi.