Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,734
- 2,265
TARURA ni moja ya taasisi za ujenzi zilizoanzishwa miaka si mingi iliyopita.
TARURA imekuwa jibu la wajenzi kwa siku nyingi kuwa na taasisi ya ujenzi chini ya halmashauri nchini.
Chini ya Halmashauri kazi nyingi zilifanyika kiholela holela kwa mashinikizo ya madiwani na wanasiasa kwa ujumla.
Kuja kwa TARURA ilikuwa mkombozi.
Hata hivyo TARRA ina safari ndefu kufikia weledi wa kihandisi wa wenzao TANROADS.
Bado TARURA wanaend na kiholela holea katika maswala ya kihandisi na hivyo kazi kukosa viwango.
Katika clip hiyo mambo yanajieleza.
Pamoja na yote tunategemea TARURA kuongeza ufanisi ili kazi zake ziwe za viwango vinavotegemewa.