TANZIA: Profesa Jahazi amefariki dunia

Inna Lillahi wa inna ilayhi raajiuun,..

Prof. Jahazi amefariki Dunia muda huu.

Allah amsamehe, atie Nuru ktk kaburi lake na ampe kauli thaabit ndugu yetu [Allahummagh'firllahu].

Maziko ya Prof. Jahazi leo. Ata Swaliwa Masjid Shadhily na kuzikwa Kisutu baada ya Asir
du ! maprofesa wengine hata hawajulikani nchi hii
 
Innallilah wainallilah rajiuun, kafa kipindi ambacho maprof wananeemeka na teuzi
 
Kama vile namkumbuka huyu mzee, ni yule alikuwa na dispensary yake maeneo ya fire? Nadhani ni jamaa dispensary..
 
Back
Top Bottom