TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo afariki dunia

RIP mama, nakumbuka siku alipopiga simu Kipima Joto ITV akajitambulisha kwa jina lingine, alivyoanza tu kuongea kwa mzuka kila mtu akajua kuwa ni yeye, alovyomaliza Masako akamalizia, nadhani wote tunajua huyo mpiga simu ni nani
 
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amina, huyu mama enzi zake bungeni alikuwa jasiri sana.
 
View attachment 362358
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kilindi mkoani Tanga, ndugu Beatrice Shelukindo amefariki dunia Leo jioni jijini Arusha alikokuwa akijiuguza.

Mwili umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mount Meru.

Innalillah waina illaih rajiun
You saved me in my life. You placed me at the begining of where I am, Now!
RIP free from pain, Beatrice!
 
View attachment 362358
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kilindi mkoani Tanga, ndugu Beatrice Shelukindo amefariki dunia Leo jioni jijini Arusha alikokuwa akijiuguza.

Mwili umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mount Meru.

Innalillah waina illaih rajiun

RI P Mhs Mbunge wa Kilindi na formaly Mbunge EAC enzi za SG Maj Amanya Mushega!!
Ni mama mpambanaji Tanzania na EAC watakukumbuka!!
 
Amepambana kishujaa na ugonjwa. Mungu wa Rehema na aipumzishe Roho ya Beatrice mahali pema peponi......
Kifo hakina ushujaa ndugu yangu. Siku ikifika ni sharti umrudie muumba wako ijapo inauma. Ni masikitiko sana kwa huyu mama.
 
Back
Top Bottom