Tanzania ya viwanda inaendelezwa. Magari mia moja yaundwa Tanzania

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,276
6,642
Kazi inaendelea sasa ni kazi ya kuendeleza viwanda. Msiotaka maendeleo kunyweni sumu.

Screenshot_20210415-191128.png
 
Unataka ujue ili iweje?
Kwa hili jibu la kipumbavu kwa swali ambalo ni la msingi, nimekupuuza.

Jibu la ajira zilizopatikana kwa uwepo wa hicho kiwanda lingesaidia kuwaonyesha wale wanaobeza, kutambua umuhimu wa hicho kiwanda na jinsi WATZ wananufaika na ajira za kudumu na za muda.

Cha kushangaza umeonyesha upumbavu, na majibu yale yale ya kishabiki. Mpumbavu.
 
Huyo ni bogus siku zote, sema nimeona nimvumilie kidogo ningemuita hivyo baadae.
 
Nijue kama hicho kiwanda chako kinastahili sifa au vipi?

Hayo magari mtayanunua huko lumumba, wengine hata mlo mmoja hawana uhakika nao, sasa nataka nijue wangapi watapata chakula cha uhakika toka ajira za hicho kiwanda.
Shame on you
 
Back
Top Bottom