Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,144
- 2,779
Hii iwafikie watawala!
Kuna kasumba ya watawala kuwa wazungu wanapenda vitu duni na mapori kucheki wanyama!
Siwalaumu labda ni kweli lakini Utalii unaoongoza ni utalii wa miji au utalii wa mjini!!
Si watu wote wanapenda kuspend pesa zao maporini watu wanataka kula maisha na pesa zao!!
Nadhani waafrica tulio wengi tuna kasumba hii!!
Nchi zinazoongoza kwa idadi ya watalii hazina mbuga ila zina vivutio vizuri vya miji na sehemu za starehe.