Vitu tuliweka 2016 .Tony254 hii inakuhusu zaidi wewe
Hizo mobile scanners tunazo nyingi...Pia Uganda, Burundi na Rwa nda wanazo mipakani...Mimi naongelea scanner ya train (mabehewa) ...East Africa ipo TZ tu..😂😂😂
Ipi mliweka 2016..?? Yakufanya scanning ya behewa za train zaidi ya container 150 kwa wakati mmoja...??😂😂😂 Ukinionyesha nahama JF...Watch video hacha uvivu...😂😂😂 Hizo mobile scanners zipo nyingi tu TZ na zimenunulia nyingine mpya...Vitu tuliweka 2016 .
Hawa watu ni nyoka si juzi Koinage alikuwa anasema hivi? hawa watu ni nyoka!Hizo mobile scanners tunazo nyingi...Pia Uganda, Burundi na Rwa nda wanazo mipakani...Mimi naongelea scanner ya train (mabehewa) ...East Africa ipo TZ tu..😂😂😂
Tanzania ina ongoza kwa kuwa na scanners za kisasa kwa ajili ya mizigo bandarini..Wakenya mpo....
These movable scanners r all over Tanzania!
Tanzania ina ongoza kwa kuwa na scanners za kisasa kwa ajili ya mizigo bandarini..Wakenya mpo....
Mulisaa . See your low IQ now .. unathani kenya is just sleeping.hizi rail scanners ziko port ya mombasa ..ziliwekwa mwaka jana..Nashanga mbona mnasema hili technologia ipo tanzania peke ..yet kenya imekua nayo tangu mwaka jana
View attachment 1603708View attachment 1603709View attachment 1603710
Sisi ziliwekwa 2017! A reason the reporter says the only facility in EA!Mulisaa . See your low IQ now .. unathani kenya is just sleeping.
Mulisaa put it here thinking we don't have scanners. So close the thread .Sisi ziliwekwa 2017! A reason the reporter says the only facility in EA!
Huruma broh, yani unepea tu msee kichapo kwa thread yake bila hata aibu.hizi rail scanners ziko port ya mombasa ..ziliwekwa mwaka jana..Nashanga mbona mnasema hili technologia ipo tanzania peke ..yet kenya imekua nayo tangu mwaka jana
View attachment 1603708View attachment 1603709View attachment 1603710
Nyie hamuwezi kuweka mashine yoyote ile na sisi tukose. Umesikia mulisaaa na Geza Ulole?hizi rail scanners ziko port ya mombasa ..ziliwekwa mwaka jana..Nashanga mbona mnasema hili technologia ipo tanzania peke ..yet kenya imekua nayo tangu mwaka jana
View attachment 1603708View attachment 1603709View attachment 1603710
Wewe ni merciless boss. Umegonga hio ng'ombe 10-0hizi rail scanners ziko port ya mombasa ..ziliwekwa mwaka jana..Nashanga mbona mnasema hili technologia ipo tanzania peke ..yet kenya imekua nayo tangu mwaka jana
View attachment 1603708View attachment 1603709View attachment 1603710
Wap ule utopolo wako wa ugaidi Mtwara? I thought u were different from fellow Kenyans but u r fake news symphatizer kuweka news za uongo za Ugaidi Mtwara! Shame on u!Wewe ni merciless boss. Umegonga hio ng'ombe 10-0