Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Afcon pre qualifiers,second leg zimbabwe vs Tanzania,National stadium Harare,sunday 01/june,kick off 15:00hrs Zimbabwe time.Tanzania leading 1-0 from first leg.The Tanzania squad already in Harare. For Tanzanians living in Zimbabwe come out on Sunday and cheer our team,we stand a very good chance of winning this game,players are focussed and keen to win.
 
GIVENALITY Ninakushukuru kwa kufungua thread hii,ila nakuomba fanya marekebisho kwenye thread yako,Tanzania hakuna uwanja wa mpira unaoitwa Benjamin Mkapa,uwanja tunaochezea unaitwa "Uwanja wa Taifa - au National Stadium" na ule wa jirani unaitwa " Uwanja wa Uhuru".
 
Last edited by a moderator:
Amavubi mkuu ndetichia yuko sahihi,Tanzania tulicheza na Zimbabwe tarehe 11 may tukashinda moja bila na kisha tareh 27 may tulicheza na Malawi tukashinda pia moja bila.

Mheshimiwa Rais naona sasa hivi unapatikana huku vizuri nakupongeza sana kwa hilo mimi swali langu ni lile lile ni vigezo gani vilitumika kuwapata makocha wasaidizi wa Taifa Stars yani SALUM MAYANGA na PATRICK MWANGATA?
 
GIVENALITY Ninakushukuru kwa kufungua thread hii,ila nakuomba fanya marekebisho kwenye thread yako,Tanzania hakuna uwanja wa mpira unaoitwa Benjamin Mkapa,uwanja tunaochezea unaitwa "Uwanja wa Taifa - au National Stadium" na ule wa jirani unaitwa " Uwanja wa Uhuru".

Done. Thank you mkuu.
 
by MKALIKENYA;
Mheshimiwa Rais naona sasa hivi unapatikana huku vizuri nakupongeza sana kwa hilo mimi swali langu ni lile lile ni vigezo gani vilitumika kuwapata makocha wasaidizi wa Taifa Stars yani SALUM MAYANGA na PATRICK MWANGATA?

Mkuu MKALIKENYA hili swali umeuliza more than 20's lakini hamna majibu! Malinzi hana majibu yoyote ndo maana akiliona tu anasepa fasta!
 
Habari za asubuhi. kwa anaejua mechi ya leo itaonyeshwa na shirika gani la television.. naomba anaejua anijuze.
 
Nadhani ni matatizo ya kiuandishi tu vngenge na kiwaki
Alikuwa anamaanisha Taifa Stars. msimamia kucha
Mimi y-n sijajua muda gani na nani ataionesha hii mechi.
But,endelea kutembelea media mbalimbali utapata majibu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom