News Alert: TANZANIA NA UGANDA KURAHISISHA BIASHARA.

Swahili_Patriot

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
260
496
Uganda na Tanzania zaingia mkataba kurahisisha mahusiano ya kibiashara baina ya nchi hizo mbili. Nchi hizi zimekubaliana kuondoa vibali vya biashara kwa yabiashara wanaotaka kuingia ndani na nje ya nchi hizo.
Swala hili linaiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya kibiashara ukizingatia uwepo wa mafuta nchini Uganda ambayo yatainufaisha Tanzania pakubwa kwa shehena hii ghali. Pia, Tanzania imeingia mkataba wa kuiuzia Uganda gesi asilia ambayo itaisaidia nchi hio kukidhi mahitaji yake ya kupata umeme wa bei nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom