Tanga Mjini haijatoa majina ya sensa na ninasikia usaili ni kesho hii maana yake nini?

thA goD

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
1,942
1,847
Habari, baada ya salam wadau mpaka hivi sasa wilaya ya Tanga mjini haijatoa majina ya sensa na ninasikia usaili ni kesho hii maana yake nini?

Naombeni mwenye fununu au link nyeti ya majina ya Tanga atupie hapa....Gemu gumu mazee,hem fanyeni uzungu basi.
 
Yametoka toka jana usiku
 
Tulia hapo hapo ulipo utafikiwa tu
 
Back
Top Bottom