Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 8,790
- 27,816
Hapa vijana wa kitanzania utaskia "baby nataka ile style ya kujirusha kutoka gorofani"
Anyway sio bure pana jambo
Anyway sio bure pana jambo
Muone 😃😃😃ntaenda kuchukua keki na mengineyo😁
Kwakweli 😂😂Ukiwabania njia ni lazima wataisafisha upende usipende
Mambo gani zaidi ya rushwa na huduma mbovumbovu.Kwenye hizi kazi za TRA, Immigration & TPA kujiua ni jambo dogo tu. Huko kunakuwaga na mambo mengi sana.
😁😆😆😆😁😁Nimeipenda aisee
Miraha ya kiTangaHiv Marinda hayahusiki hapa
Jamaa yupo kwenye ajira nono ....afu anajiua ,
Kweliii upele humuota asiyena kucha
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Burundi na DRC si sehemu salama ya kuishi. Zambia sawa.Washamba tu na uoga wao ukijijua umeiba nenda Kigoma dandia gari tokomea burundi au Drc
Kama ngeli inapanda kaishi copper belt zambia
Yeah umerogwa mkuuUchawi upo wakuu.
Mwenye hiyo hotel achunguzwe anaweza kua ana husika!!Wamejuaje kama amejirusha na hajarushwa (Au upelelezi umekwisha na wame-conclude beyond reasonable doubt)
Subiri mwezi ujao nimeambiwa zitatoka.Pole babu, basi wakikupatia mjukuu wa kuzitumia naye nipo hapa
Mmiliki wa hiyo hoteli achunguzwe kwa kina,mtakuja nishukhkuru nawaambia Watanzania wenzangu!!Alafu ni Kweli sometimes unaweza kukuta ameuwawa ndani alafu ndiyo akatupwa ili ionekanike amejirusha