Maandamano watu wataishia kupata vilema, ni bora machafuko kila mmoja aumie. Ikitokea wote tukawa kwenye hatari lazima heshima irejee. Lakini maandamano huku polisi wakitumia silaha za moto sioni tija yake.
Maandamano ikiwa idadi ya kutosha wahanga huwa Wachache. Haipo struggle bila wahanga.