Blackperson
Member
- Feb 29, 2024
- 61
- 36
Naandika kwa mara ya nne.
TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya nchini Tanzania walipata ufadhili na World Bank (WB) kuajiri watumishi wa afya ajira mkataba wa miaka mitatu.
Wamejitahidi kupeleka watumishi zaidi ya 270+ kwenye halmashauri mbalimbali Takriban 43.
Malalamiko yaliyopo na yanaendelea hadi muda huu.
Watumishi hawajalipwa mshahara kuanzia mwezi wa pili, tatu, nne wa tano unaenda wako makazini na wanafanya kazi katika vituo vya afya na zahanati mbalimbali nchini.
Je, ni lini TAMISEMI itafanya kuwasaidia watumishi hao kupata hela za mishahara yao.