HaiwezekaniSasa kama Dangote anaweza kuwa namba 191 duniani kwa utajiri wakati ndo namba moja Africa huyo tajiri namba moja duniani si anaweza kununua Africa yote akiamua?
Una uhakika thamani ya kaburi la babu yako lina thamani sawa na kaburi la Nyerere ?Usihofu. Siku Dangote akifa thamani ya kaburi lake itakuwa sawa na lile la kwako. Msitukuze sana hayo makaratasi.
Huyo Eron musk TZ hawezi kuinunua ndio ataweza kulinunua bara la Africa.Sasa kama Dangote anaweza kuwa namba 191 duniani kwa utajiri wakati ndio namba moja Afrika, huyo tajiri namba moja duniani si anaweza kununua Afrika yote akiamua?
Ameudi tena Leo kuwa namba mojaDangote ameshashushwa na jamaa mmoja wa South Africa
Ila wanaliendesha wanavyotakaHome boy wazazi wako wakijua ada yao ilienda bure kiasi hiki unafikiri watajisikia vizuri kweli? Kwamba kuna tajiri anaweza kununua bara zima la Afrika.
Jibu ni hapan, hata wakiungana wote kumi hawawezi kununua bara la Afrika. Reasoning ya aina hii haina afya kwa maendeleo ya taifa letu.
Kuliendesha kivipi maana hii tungo tata nduguIla wanaliendesha wanavyotaka
Wewe wa bilioni 6.2...nyuma kidoogo ya Baba LevoMimi namba ngapi?