Taharuki: Ang'oa mita ya maji nyumbani kwake na kuipeleka idara ya maji (Suwasa-Singida) kwa madai maji hayatoki wiki ya pili

Nakumbuka Profesa mmoja wakati wa kupiga kura za kuchagua raisi na wabunge, alienda kituoni, akatafta jina lake mara tatu hakuliona, akasema .... hivi najisumbulisha nini hapa si Bora nirudi home nkakae na familia yanguu.... akaharibu kile kirambulisho Cha mpiga kura, akatupa kwa jalala
 
Je Lameki Mwigulu chemba yeye anasemaje kwani? Au yeye anakunywa kwa mrija akiwa dar.
 
Mwanaume mmoja huko SINGIDA MJINI achafukwa kwa ukosefu wa maji mitaa ya MISUNA na kuamua kuingo'a mita ya maji na kuirudisha kwa wahusika..Angalizo; Enzi za jiwe haya hatukuyaona..ova
Saaaafi, tukutane 2025
 
Mwanaume mmoja huko SINGIDA MJINI achafukwa kwa ukosefu wa maji mitaa ya MISUNA na kuamua kuingo'a mita ya maji na kuirudisha kwa wahusika..Angalizo; Enzi za jiwe haya hatukuyaona..ova

Angalizo liko sahihi kabisa,kwa sasa hakuna serikali bali kikundi cha mafisadi.
 
Back
Top Bottom