TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

wakuu sijaona ule mkanda wa soweto kama kaonesha au hata kamati kuu yake haiamini basi apeleke kanisani.

CDM kesho mtatoa tamko lingine maana nyie kwa matamko ni nambari one. Kila kukicha matamko. Je kamati kuu kimeridhika na tabia baadhi ya viongozi wa CDM kusababisha vurugu?
 
unajua hawa ccm wamenyamaziwa muda mrefu sasa wakajiona wao ndo wababe wa siasa za vitisho, ngoja wapate vichapo vya kuwakinai watashika adabu tu
 
Una mwili wa chuma? ushambuliwe na vitu vyote hivyo uwe hai kutoa hii hotuba ya kuvunja amani?

Basi mijitu inaamini hayo.

Kwa maneno hayo, kama mimi ningekuwa Nyerere, ningesha mpoteza zamani sana. Huyu mtu anahatarisha amani ya nchi.

zomba zombie zembe ..........laaana
 
chadema ni janga,ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu

CDM NI JANGA NIHATARI SAN KWA MSTAKABARI WA ccm[/QUOTE]
Chadema ni janga tena kubwa. Wazee wa matamko kila kukicha wanatafuta sympathy toka kwa wananchi. Hawa jamaa ni watu hatari sana ndio maana hawataweza kuongoza nchi hii kamwe
 
unajua hawa ccm wamenyamaziwa muda mrefu sasa wakajiona wao ndo wababe wa siasa za vitisho, ngoja wapate vichapo vya kuwakinai watashika adabu tu
Polisi wakileta vurugu hawa CDM watandikwe na sasa wawategue Kiuno kabisa
 
Ili kukabiliana na vitendo vya fujo vinavyofanywa na vijana wa CCM dhidi ya wagombea, Wanachama na viongozi wa CHADEMA, Kamati Kuu imeagiza kwamba kitengo cha ulinzi cha Chama “Red Brigade” kiimarishwe zaidi kwa kuhakikisha kuwa vijana wote wa Red Brigade Nchi nzima wanapewa mafunzo maalum ya UKAKAMAVU yatakayoandaliwa katika Makambi maalum katika mikoa yote.

Pamoja na maazimio mazuri yaliyofanywa na kamati kuu, kwangu mimi hili ndilo naona la muhimu sana kwa sasa kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo.

ccm imekuwa ikiwatumia green guard kuwateka na kuwashambulia wanachama, viongozi na wagombea wetu katika maeneo mbalimbali na hata tukiripoti polisi hawachukuliwi hatua yoyote.

Sasa utakuwa ni mwendo wa jino kwa jino, lazima tuwaandae vijana wetu wawe wakakamavu kwa kiwango cha kuweza kukabiliana na hila zozote za green guard, likifanyika hili naamini kwamba ufirauni wa ccm utakuwa umefikia kikomo na sitarajii kusikia tena mwanachama, kiongozi ama mgombea wetu amevamia na kuteswa na green guard.
 
never on earth polisi hawawez kuja na ushahidi wowote wa kukanusha haya na utabaki kua ukweli mchungu kwako na polisi huku mkiendelea jenga hoja za kipuuzi eti inajengwa chuki ..???!!
wewe jamaa sijui type gani???
 
Kamati imelaani, Kamati imejadili, Kamati inaamini, Kamati imeshangazwa, Kamati imesikitishwa, Kamati imefadhaishwa.

Hii Kamati ni kina nani.
 
CDM kesho mtatoa tamko lingine maana nyie kwa matamko ni nambari one. Kila kukicha matamko. Je kamati kuu kimeridhika na tabia baadhi ya viongozi wa CDM kusababisha vurugu?

kamati kuu inaelewa wazi kwamba siasa ni mchezo mchafu na inaona kuwa bora punda afe mzigo ufike.
 
Kwa hiyo Polisi ndio walitaka kumuua Lema na Mbowe?

Hivi mtaacha lini hizi stori za kitoto na kupandikiza chuki kati ya polisi na wananchi?

Mimi nina mashaka kuwa haya mambo mnayapanga wenyewe ili kuja kuleta headlines za kichochezi kama hizi.
HIZI MBINU HAZITAFANIKIWA KAMWE KWANI WANANCHI WAMEAISHAANZA KUJITAMBUA NA KUWASHTUKIA.

Hakuna jambo litakalokosa ushahidi wa kutosha, nina uhakika polisi watapata tu ushahidi na iko siku ukweli utawekwa hadharani na nadhani ndio utakuwa mwisho wa upuuzi

Haiwezekani kila mikutano yenu watu wapoteze maisha au vurugu za bila sababu, kwa nini mnaweka maisha ya watu rehani?

Mnasema hamuogopi polisi wala kufa kwa kuwachochea vijana wafanye vurugu lakini wakati Lema na Mbowe walipokuwa wanatafutwa na polisi walijificha kama ndege tunduni.

Sio kosa lako wewe ni mtu wa kuhurumiwa tu....yaani unavoandika kama ulikuwepo soweto wakati tuliokuwepo tulijionea fika polisi walichokifanya. Chris mtumikie kafiri upate riziki yako tu mkuu ila unachokisema hata ukimweleza mtoto wa primary school hapa Tanzania atakucheka sana.
 
Back
Top Bottom