Swali kwa TFF: Mchezaji kama hajatimiza vigezo vya usajili anaweza kuruhusiwa kucheza?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,451
2,277
Nije kwenye Mada yangu moja kwa moja. Naiomba TFF utoe ufafanuzi wa Sheria juu ya mchezaji ambaye hajakamilisha vigezo vya usajili wake je anaruhusiwa kucheza?

Na kama haruhusiwi mpaka akamilishe vugezo, adhabu ya Kucheza kabla ya kukamilisha vigezo kwa Mujibu wa sheria za FIFA na TFF ni zipi?
 
Nije kwenye Mada yangu moja kwa moja.Naiomba TFF utoe ufafanuzi wa Sheria juu ya MCHEZAJI ambaye hajakamilisha VIGEZO vya USAJILI wake je anaruhusiwa KUCHEZA?Na kama HARUHUSIWI mpaka akamilishe VIGEZO je ADHABU ya Kucheza kabla ya kukamilisha VIGEZO kwa Mujibu wa SHERIA za FIFA na TFF ni ZIPI?
Misukule ya Yericko.
 
Screenshot_20240505-183604~2.png
Jana Guede wangu kafunga bila Pacome kuhusika!
Kwanini Pacome anawauma?
 
Hao hao TFF mlishawaambia wanakiuka vifungu vya sheria wakati wa sakata la Feisal na wengi mkasema na kuleta vifungu vyenu vya sheria. Leo mnakuja kuomba vifungu kwa wakiukaji wa sheria?
Tuelezee walikiukaje, tatizo unakuwa na kamati zaaamuzi ambazo waamuzi ni mawakili wa yanga na gsm hakuna haki itakayotokea.
 
Back
Top Bottom