Suala la DP World ni IQ Test kwa Watanzania, tumewajua vilaza na vipanga

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,425
37,134
Kuna watu walionekana wana IQ kubwa kumbe ni vilaza wa kutupa, kuna wengine tuliwachukulia poa kumbe kichwani zimo.

Tumeshawajua vilaza wa Taifa na vipanga wa Taifa.

Mtu anadiriki kusema kuwa wengine wanahoji kuhusu bandari wakati hawapajui bandarini,mwingine anahoji kuwa bsndari ilianzishwa na waarabu so tuwaache, stupid
 
Jamani tusonge mbele, tusisikilize kelele za chura.Hata wakati wa kupigania uhuru kuna wenzetu walikataa lkn leo vizazi vyao vinafaidi!
 
Ile Sensa wangechangua na sehemu ya vilaza na vipanga nadhani idadi ya Vilaza ingekua kubwa sana...
 
Mimi nilisoma mkataba wa kilaghai kati ya Mangungo chifu wa Msovera na peter cjawahi hata kufika huko,ila nikisoma maandishi yaan mkataba naona umepigwa.Ile Historia inareflect ya sasa.Yule chifu baada ya kusaini,alipewa na vioo vya kujitazama na shanga.Kwa sasa unapelekwa hotel ya nyota 6 na gari juu au unapewa tiketi ya ndege kwenda na kurudi unajikuta umetia sahihi.Nyambafu sana
 
Pro shivji
Katupa njia m-badala yandani,ni bunge kurejea upya mkataba

2025 ,maamuzi yawe sahihi

Nchi hii kuna wanaojisahau wanaifanya mali yao binafsi. Kumbe watanzania wako zaidi ya mil 60. Na haki hiyo amewapa Mwenyezi Mungu bure, kwamba Tanzania ni nchi yenu.
Tuwe tunafanya mambo kama wote ni watu wamoja na tunawajibika kwa nchi yetu mama. Hakuna mwenye hati miliki
 
Back
Top Bottom