Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
Hakika nawaambieni yule mchawi wa soka karudi mtakatifu Gaucho anapiga vyanzu vya kutosha anapiga vyobo tani 800 anadrible umbali wa dar mwanza nawambieni 2014 mchezaji bora wa mwaka brazili 2013 Ronaldo de asis hakosi kwenye kikosi cha Scolari
Bado sijaona mrishaji mzuri wa vijana kama Jo pale mbele.Angalia video yake
Bado sijaona mrishaji mzuri wa vijana kama Jo pale mbele.Angalia video yake
Last edited by a moderator: