AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
Mwenye mandate ya kufunga vituo ni nani?
Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
we nae umekurupuka kujibu usilolijua watu kama nyie lazima mfamishwe, kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya Tpsoa (wamiliki wa shell) na serikali kuhusu bei za izo mashine ambazo kila mashine kwa pump moja ni usd 3000 kama shell yako ina pump 6 kwahiyo itakupasa ulipe usd 3000 x 6. wamiliki wa vituo wakaomba wapunguziwe kwa sababu bei iko juu wakaomba walipe usd 900 kwa kila pump au hiyo dollar 3000 ilipwe kwa kituo kizima haijalishi shell yako ina pump 2 au 6 nk..., na mwisho wa mazungumzo serikali (TRA Pamoja na ofisi ya waziri wa fedha na waziri wa nishati na madini wakawa wamekubaliana watakutana tena baada ya miezi 3 ili kufikia muafaka na walisisitiziwa wamiliki wa vituo kila kituo kiwe efd machine izi za kawaida ili kila atakae nunua mafuta atolewe receipt). sasa hawajaitisha kikao tena ndo vituo vinafungwa na vinalazimishwa kununua mashine kwa bei ya usd 3000 kwa kila kituoHajakurupuka. Niutaratibu tu wa kuhakikisha wote tunalipa kodi.
Issue sio risiti za EFD, issue ni ku automate risiti hizo za EFD na pump; yaani kama una nunua mafuta ya laki, jamaa atakapo press laki kwenye pump na risiti itoke hivyo, wengi wao wanaingiza laki manually kwenye machine na hicho ndicho walicho kua kwenye mazungumzo.Acha upuuzi wewe, kinachotakiwa ni watu kulipa kodi sio mazungumzo, nimeanza kupewa risiti ya efd kwenye vituo vya mafuta Dar zaidi ya mwaka mmoja uliopita, hao wanaofanya mazungumzo ni kina nani? mbona wengine wanatoa risiti
Mimi sijawi kutumia hizo mashine lakini kila pump ni lazima iwe na mashine yake kwani mashine moja au mbili haziwezi ku link na pump zote?Unajua mkuu hali uchumi na biashara kununua mashine moja milioni 5 sasa ukiwa una pump sita milioni 30.
bila hivyo utajulikana vipi kama unafanya kazi.Hii ni kaz ya Mkuu Wa wilaya ,?
Sent from my Lenovo A1000 using JamiiForums mobile app
Tuache ujanjaujanja, magumashi, .Pumhp sita maana yake biashara ni kubwa.Unajua mkuu hali uchumi na biashara kununua mashine moja milioni 5 sasa ukiwa una pump sita milioni 30.
Wazo zuri sana na nakubaliana na wewe mkuuUkwepaji wa kodi ni kitu mbaya inarudisha maendeleo nyuma.Solution siyo kufunga vituo turekebisha mfumo wetu wa kujusanya kodi katika sekta hiyo.
Kwa nini hawa Operators wa vituo vya mafuta wasifanye upfront payment ya kodi wanunuapo mafuta toka depots na wao wanapouza mafuta ile kodi inayolipwa na wateja iwe yao..???
Uchumi ukirudi nyuma wanaanza kutafuta mchawi!!!......kwa pressure hiyo Acha wavuruge nchi kwa matamko y kipumbavu!!.....automation wameshakubaliana....sio Kwamba hawana EFD Nooo wao wanataka automation...lakini risiti EFD Zipo!! Wanaaharibu nchi!!