bmk
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 571
- 857
Habari za Mda huu,
Karibu katika page ya CHLORIDE EXIDE, Page itakayokupa maelezo zaidi kuhusu:
1. Utambulisho Na Maelezo kifupi kuhusu Kampuni ya chloride exide.
2. Matumizi ya battery kwenye gari yako.
3. Huduma zipatikanazo kutoka CHLORIDE EXIDE.
CHLORIDE EXIDE ni kampuni inayozalisha batteries za magari pamoja na battery za solar, kiwanda hiki cha battery kipo nchini kenya katika jiji la nairobi, kikiwa na branch yake hapa nchini tanzania katika mikoa mnne yaani Dar, Arusha,Mwanza Na Mbeya.
Kwa hapa Dar tupo Barabara ya Shekilango mataa njia ya kwenda ubungo bus stand, katika jengo la millenium business park, tumepakana na ofisi ya TRA Manzese branch
Hapa Tunauza battery kwa jumla na rejareja, zaidi sana tunatoa huduma ya kufunga na kucheki battery yako BURE KABISA (Haijalishi ni battery yetu ama si yetu)
Tuna mawakala wakubwa na wadogo wote hawa tunafanya kazi kwa pamoja hasa katika kumhudumia mteja na kuhakikisha anapata huduma murua na yenye ubora.
AINA ZA BATTERY NA MATUMIZI YAKE:
Tuna aina mbili za batteries nazo ni battery zinazoongezwa maji na battery zisizoongezwa maji maarufu kama dry cell au MF.
i. Battery zinazoongezwa maji
Hizi ni battery ambazo zinawekwa maji, na yaani unapoanza kutumia battery unaweka maji makali ama kwa jina maarufu ACID,(iliyopo kwenye chupa ya rangi nyekundu)
battery hii inapaswa kuangalia mara kwa mara ili yakipungua basi unaongeza maji baridi(distilled water), HAPA hauruhusiwi kumwaga maji ya battery kwani ukimwaga unaharibu battery.
ii. Battery zisizoongezwa Maji (DRYCELL/ MF BATTERIES)
Hizi ni battery ambazo tayari zina maji ndani, hivyo zinakuwa tayari kwakufunga kwenye gari yako, battery hizi huwa nasema zimetengenezwa kwa watu wavivu, yaani wenye mambo mengi na wasiopata mda wa kucheki battery mara kwa mara, kwa sasa battery hizi watu wengi wanazipenda sana.
Kwa maelezo zaidi waweza pitia
Kwa Maelezo zaidi: Wasiliana Nasi kwa: 0757848484 0715755555
MORE UPDATES TO COME....