Songea: Leo CCM wanafanya mkutano wa hadhara, kesho CHADEMA

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Wakuu: Nimetua Songea (Nyumbi bombi)

Chama cha CCM kinazidi kujichanganya leo hii kinafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwaja vya majengo, ambapo CHADEMA wanafanyia hapo mkutano wao baada ya maandamano ya zaidi ya km4, magari ya matangazo chameda yameshaingia na baadhi ya makamanda ili kuweka mambo sawa. cha ajabu CCM nao leo wanafanya mkutano wa hadhara kama kawaidi kila kata , mtaa kinamama na nguo zao za kijani pia fuso kubeba watu wa vijijini, hii inaashiria nini? Je ni kitengo cha propaganda CCM ama ni Mh. Nchimbi anataka kuhatarisha Amani? kazi kweli kweli...
 
Huyo Nchimbi n kawaida yake, mara kwa mara anafanya hvyo pale CDM wanapotaka kufanya mkutano. Nakumbuka mwaka jana nilikuwa hapo majengo p/s nchimbi kakusanya wamama kbao toka sehm tofaut kwa malor kuja mkutanon na kuwagawia elf 2 kila m1.
Sijui kwa kuwa yy n wazr ama ndo nn sasa. Nashukuru CDM last electn hapo songea mjini tulpata kata 5 kati ya 11.
 
Hawana kitu cha kuwaeleza zaid ya propaganda.na hawa wameona cdm ina mkutano hapa nao wanaiga wala hawakupanga kufanya mkutano.lakini sisi tupo hapa mjini hatudanganyiki.kesho tutajaza uwanja wa lizabon.
 
Wakuu: Nimetua Songea (Nyumbi bombi)

Chama cha CCM kinazidi kujichanganya leo hii kinafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwaja vya majengo, ambapo CHADEMA wanafanyia hapo mkutano wao baada ya maandamano ya zaidi ya km4, magari ya matangazo chameda yameshaingia na baadhi ya makamanda ili kuweka mambo sawa. cha ajabu CCM nao leo wanafanya mkutano wa hadhara kama kawaidi kila kata , mtaa kinamama na nguo zao za kijani pia fuso kubeba watu wa vijijini, hii inaashiria nini? Je ni kitengo cha propaganda CCM ama ni Mh. Nchimbi anataka kuhatarisha Amani? kazi kweli kweli...

Nape acheni kuzurula na kupiga bla bla, tuleeteeni maisha bora angalau hata kwa Kata moja iwe mfano hai!
Kama Cdm na uongozi wa wake ni mafisadi chukueni hatua inayo stahiki!
Sasa na nyie wenye mamlaka na dola mnalalamika!
layman tufanyeje?
 
hilo ndo laaajabu hakuna ambaye yuko responsible kila mtu ni kulalamika tuuu!
eeti hata ccm wanalalamika cdm nimafisadi wa pesa za ruzuku sasa sisi tumwambie nani matatizo ya nchi hii!
Kwani sheria za matumizi ya ruzuku hazipo??
 
Wakuu: Nimetua Songea (Nyumbi bombi)

Chama cha CCM kinazidi kujichanganya leo hii kinafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwaja vya majengo, ambapo CHADEMA wanafanyia hapo mkutano wao baada ya maandamano ya zaidi ya km4, magari ya matangazo chameda yameshaingia na baadhi ya makamanda ili kuweka mambo sawa. cha ajabu CCM nao leo wanafanya mkutano wa hadhara kama kawaidi kila kata , mtaa kinamama na nguo zao za kijani pia fuso kubeba watu wa vijijini, hii inaashiria nini? Je ni kitengo cha propaganda CCM ama ni Mh. Nchimbi anataka kuhatarisha Amani? kazi kweli kweli...

Ile tabia ya kujificha nyuma ya pazia la DOLA wameona hilipi. Ni vizuri wametambua kuwa hawana hati miliki ya kutawala Tanzania na kuanzia sasa wanatakiwa wajibu hoja si kutumia kutumia police.
 
Speaker Mkutano ukianza ntarusha picha kwa sasa hamna issue ila magari ya CCM ya matangazo mji mzima kelele wanaweka taarab
na kuhamasisha watu wajitokeze
 
Wakuu: Nimetua Songea (Nyumbi bombi)

Chama cha CCM kinazidi kujichanganya leo hii kinafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwaja vya majengo, ambapo CHADEMA wanafanyia hapo mkutano wao baada ya maandamano ya zaidi ya km4, magari ya matangazo chameda yameshaingia na baadhi ya makamanda ili kuweka mambo sawa. cha ajabu CCM nao leo wanafanya mkutano wa hadhara kama kawaidi kila kata , mtaa kinamama na nguo zao za kijani pia fuso kubeba watu wa vijijini, hii inaashiria nini? Je ni kitengo cha propaganda CCM ama ni Mh. Nchimbi anataka kuhatarisha Amani? kazi kweli kweli...

Kila chama kina haki kufanya mikutano yake ya hadhara pahala popote na siku yoyote katika masaa ya asubuhi mpaka maghribi ili mradi tu wasivunje sheria za nchi.

Wote wana haki. waache wapambane katika kujenga na kutoa hoja.
 
Wakuu: Nimetua Songea (Nyumbi bombi)

Chama cha CCM kinazidi kujichanganya leo hii kinafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwaja vya majengo, ambapo CHADEMA wanafanyia hapo mkutano wao baada ya maandamano ya zaidi ya km4, magari ya matangazo chameda yameshaingia na baadhi ya makamanda ili kuweka mambo sawa. cha ajabu CCM nao leo wanafanya mkutano wa hadhara kama kawaidi kila kata , mtaa kinamama na nguo zao za kijani pia fuso kubeba watu wa vijijini, hii inaashiria nini? Je ni kitengo cha propaganda CCM ama ni Mh. Nchimbi anataka kuhatarisha Amani? kazi kweli kweli...

Labda itawasaidia CCM kujua tathimini yao kwa jinsi walivyonawafuasi,kama jeshi la polisi limewaruhusu kufanya mkutano siku ambayo iliombwa na Chadema ni vizuri wananchi wataamua wanaenda kumsikiliza nani ninachojua kata nyingi za hapo mjini songea ziko chini ya uongozi wa madiwani wa Chadema kwa hiyo CCM wasijewakajitumbukiza kwenye kufanya fujo manake wanajulikana
 
waacheni wamechanganyikiwa hao, oneni nape anavyoweweseka. waache wapeleke malori kubeba hao wakina mama, chadema mwendo mdundo. nape mshahara ni ufisadi pole kijana maana udhaifu wako wa kuchanganua mambo umeanza kuwekwa hadharani.
 
Nimeongea na rafiki yangu wa Namabengo anasema wakina mama wamepewa jezi jana na hiace leo zinasomba. Chadema wanatumia mil 7. kwa siku 3 za maandamano wakati ccm wanatumia mil 24 kwa siku moja ya maandamano.
 
Nimeambiwa ccm wamekopa pesa bank kwaajili ya kuwalipa watu wa kwenda kwenye mkutano.hivyo nawashauri wananchi wazichangamkie hizo pesa za nguvu.ni nape katuma kupitia account ya mwenyekiti wa ccm mkoa na waziri nchimbi.chadema inatisha
 
Huu moto wa chadema utafanya chama cha mapinduzi washindwe kutekeleza ahadi zao kama walivyoahidi kwa kuwa kila siku wanawogo
 
hilo ndo laaajabu hakuna ambaye yuko responsible kila mtu ni kulalamika tuuu!
eeti hata ccm wanalalamika cdm nimafisadi wa pesa za ruzuku sasa sisi tumwambie nani matatizo ya nchi hii!
Kwani sheria za matumizi ya ruzuku hazipo??

Wamesha zeeka kama kuku ni wa kuchinja maana uwezekano wa kutaga tena haupo!
ccm jamani mnatuboa, tumeshawachoka fursa ya kuongoza nchi bila lengo wala maendeleo nyie naona ni viranja!
Yaaani hilo la kuzunguka kupiga bla bla mnaona ni wazo j
 
Back
Top Bottom