Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,392
- 21,076
Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali jumamosi na wanaosali jumapili. Wapo wanao amni utakatifu duniani na wapo wanao amni utakatifu ni mpaka ufe, na uombewe ili uwe mtajkatifu.
Ipo hivi: ‘Divinity’ ni dini, Islam is included in divinity. Sasa unapo singleout kuweka tahasusi yenye Kiislam wakati dini zote zingine unazirundika kwenye divinity inaleta maswali mengi. Lutheran, Anglican, Catholic nk nao wakitaka kuwe na Tahasusi yao, utawapa?In a nutshell, kuweka combination ya Islam wakati kuna divinity it doesn’t make sense.
Islam, Catholic, Lutheran, Bible etc were taught under divinity.Tatizo la watu wetu wanafanya mambo kwa kumfurahisha boss, hawatumii merit kufanya maamuzi na mipango ya nchi. Mbona sioni tahasusi za Catholic, Anglican, Lutheran nk?Watu wamekaa kwenye wizara na vikao wanaona Rais ni Muislam wanaamua kumfurahisha kwa kumpa tasusi za Kiislam. Unfortunately. Sawa na kipindi cha Jiwe hadi wakamjengea mbuga za wanayama na uwanja wa ndege Chato. Futeni hii kitu, sio sahihi na ipo kinyume cha katiba ya nchi.