Soma hapa madhara ya punyeto kiroho

we are the inner

Senior Member
Dec 27, 2023
194
466
📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣
HASARA ZA KUPIGA PUNYETO KIROHO

🗣️Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari?

🧚‍♂️Punyeto na kujichua ni tendo la kiroho

🤏Wengi hutazama tendo la ngono kama furaha ya kimwili, lakini tumeshaona ni tendo la kiroho linalohusisha sehemu tatu za mwanadamu:

Roho.☑️
Mwili.☑️
Nafsi.☑️

🧚‍♂️Roho ndio inayoamua kama iungane na roho nyingine ili kukamilisha uumbaji, ikikubaliana na mwenzake nafsi huungana kuwa kitu kimoja kisha mwili huungana na mwili mwingine kukamilisha tendo hilo kwa nje. Baadaye nitaelezea kwa kina kipengele hiki muhimu ili kujua uhusiano wa roho mwili na nafsi katika nguvu ya mapenzi.

❤‍🔥Kwa hiyo tendo la ngono huamshwa rohoni, kisha KUKAMILIKA kwa Muungano wa nafsi, ndipo watu wanaona ushuhuda wa mwili kuwa watu fulani wanapendana. Mungu aliumba mtu mke na mtu mume, hao ndio wanaokamilishana. Kwamba aliumbwa mwanamume kwanza kisha akagawanywa kupata mwanamke, kwa hiyo ili huyu mtu awe kamili, ni lazima awe na opposite sex wa kumkamilisha. Nimekupa hint ujue mwanamume kumtamani mwanamume mwenzake ni tatizo la kiroho, kadhalika mwanamke pia. Nitafafanua vizuri mbeleni..

🤓Punyeto kama Ilivyo kwa ngono haiwezi kamwe kukamilika bila kuwa na mwenza. Tendo hili linahusisha kuamsha hamu kwa kuvuta hisia (meditative stimulation) mpaka kufikia sexual experience. Ni rahisi mtu kujidhani yu peke yake, lakini ukweli ni kuwa kuna mshirika wa pili anayefanya uwezekano wa kumaliza (ejaculation/climax). Hakuna mtu anayeamua tu, ngoja nipige punyeto. Huanza kwanza hamu ambayo huuteka ufahamu na ghafla mtu hujisikia hawezi tena kuvumilia. Sasa hiyo hamu ni NGUVU YA KIROHO inayoingia mwilini, ni ulimwengu wa roho, ni pepo wachafu. Pepo hawa wabaya ndio sex partners wa wapiga punyeto!! Wao wanashughulika na nafsi ya mtu kwa kuanza na kuiteka roho, kisha wakaungana na mtu huyu katika nafsi kuwa mwili mmoja, ndipo anaanza kujichua kwa kutumia hisia tu mpaka akakojoa.

🧌Ni kwamba, viumbe vyote vya kiroho havina nguvu ya kutenda kwenye huu ulimwengu wetu. Upo ulimwengu unaoonekana kwa macho ya nyama, ndio huu tuliopo, umeumbwa kwa ajili yetu sisi viumbe wenye mwili. Pia upo ulimwengu usioonekana kwa macho ya nyama, uliumbwa kwa ajili ya roho. Sasa ili hao viumbe wa kiroho waweze kutenda kwenye huu ulimwengu ni lazima wawe na nguvu ya miili yetu. Nje ya hapo ni bure kwao! Hapo mwanzo walikuwa wakitumia miili ya wanyama (kisa cha Hawa bustanini), lakini sasa wanatumia nguvu za wanadamu wenyewe. Namna mojawapo yenye kutoa NGUVU KUBWA ZAIDI ni kupiga punyeto na kujichua.

🫵Nguvu ya uumbaji imo katika ngono

Zile baraka walizopewa Adam na Hawa "zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi, mkatawale... " ziliwekwa ndani ya nguvu ya ngono. Kwa lugha nyingine kitendo cha sex kinaachilia nguvu ya uumbaji wa kila kitu duniani. Wazungu wanasema, sexual intercourse opens portals to other dimensions. Ndio maana mke na mume wakiwa na makubaliano katika Roho, watafanya mambo makubwa katika maisha.

🗣️Sasa mpiga punyeto naye huachilia nguvu hiyo ya uumbaji, isipokuwa yeye huitoa kwa mapepo. Kumbuka nguvu hii ni sura yake yeye mwenyewe, nafsi yake halisi akawagawia mapepo. Hii ndio nguvu waitakayo ili kuweza kutekeleza mambo yao hapa duniani. Ni nguvu hii wanaitumia kama mlango wa kushuka hapa duniani na kuwavuruga wanadamu. Jiulize, katika roho hakuna pepo jike wala dume. Mapepo ni roho wachafu tu, hawazai wala kuzaliana, imekuwaje leo tunapata JINI MAHABA JIKE NA DUME? Mwanamume anapopiga punyeto, huachia nguvu ambayo ni yeye mwanamume, hivyo pepo lililopo huichukua na kuivaa nguvu hiyo hata kuwa na hali ya kiume. Ndipo huanza kuwaingilia wanawake kwa kutumia nguvu hiyo, huku likimweka mateka mpiga punyeto huyu aendelee kulizalishia nguvu hiyo. Mwanamke anayejichua hutoa nguvu ya kike na hivyo kuligeuza pepo kuwa jike.

♻️♻️♻️Gereza la kiroho♻️♻️♻️

Pepo huichukua na kuiweka gerezani roho ya mtu huyu na hapo huitiisha nafsi. Kwa hiyo hakuna jambo atafanya linafanikiwa maishani mwake isipokuwa mpaka mpenzi wake huyu wa kiroho akubali. Ndipo huja hadithi za majini yanayoharibu mafanikio.

🗣️Kuhani wa Kanisa la shetani, Antonio Lavey, aliwahi kusema, kafara kubwa kabisa ya siri, wakati wa ibada ya matambiko, ni kumwaga shahawa, ni zaidi ya kumchinja mtu na kumwaga damu yake.!! Kumbe kupiga punyeto ni kujitoa kama kafara kwa mapepo na hivyo kuyapa nguvu zako!!

🫵Ndio maana baada ya punyeto, mtu hawezi kufikiri vizuri, akili huwa kama ina ukungu, nguvu hupungua sana mwilini. Nguvu zote za kiroho huondoka, mtu anakuwa mweupe kabisa kiroho, emotional energy inatoweka, ndipo hamu ya kuwa na opposite sex inaanza kufifia.

🤣🤣🤣Shahawa sio mkojo, ni DNA yako mwenyewe. Nguvu za kumiliki zimo ndani yake, sex energy, nguvu ya kuzalisha mali nk. Hizi huitwa dominion power. Ni nguvu hizi zinazocho chukuliwa na mapepo.
JITAMBUE AMKA CHUKUA HATUA
 
Unaweza kuwa na point lakini punyeto haihepukiki! This is biology! Ujaoa! Huna mke! Hutaki zinaa halisi za kukughalimu hela na majukumu! Utafanyaje? Vinginevyo utabaka! Kibaya ni addiction! Uteja wa punyeto! Kwa mwanaume lijali umekula umeshiba lazima tamaa za mwanamke zikujie kwa uume kuliamsha! Hapo piga punyeto yako moja umnyamazishe mzee maisha yaendelee! Vinginevyo utajitafutia matatizo yasiyo ya lazima
 
FB_IMG_1705089700649.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nyeto madhara yake Kila mtu atajifunza kwa vitendo binafsi nilinyetoka kma Leo kesho napata manzi tena kisu tu way back 2017 sitasahau ilikuwa June kwenda kwenye game nikapiga show mbovu kuwahi kutokea kwenye historia ya show Toka siku hiyo nikasema sinyetoki tena kwa Sasa aah good life nyeto mbaya sana tena sna ila ukimwambia mtu hawezi elewa hadi ajifunze in a hardway
Next time andika kwa uchache tu
 
Unaweza kuwa na point lakini punyeto haihepukiki! This is biology! Ujaoa! Huna mke! Hutaki zinaa halisi za kukughalimu hela na majukumu! Utafanyaje? Vinginevyo utabaka! Kibaya ni addiction! Uteja wa punyeto! Kwa mwanaume lijali umekula umeshiba lazima tamaa za mwanamke zikujie kwa uume kuliamsha! Hapo piga punyeto yako moja umnyamazishe mzee maisha yaendelee! Vinginevyo utajitafutia matatizo yasiyo ya lazima
Huu msisitizo Nina uhakika hata hakija na comeback hawezi kufua dafu.

Mwamba umeongea kwa msisitizo na uzoefu mkubwa sana.
 
🫵Ndio maana baada ya punyeto, mtu hawezi kufikiri vizuri, akili huwa kama ina ukungu, nguvu hupungua sana mwilini. Nguvu zote za kiroho huondoka, mtu anakuwa mweupe kabisa kiroho, emotional energy inatoweka, ndipo hamu ya kuwa na opposite sex inaanza kufifia.

Hii umeisoma wapi kiongozi???

Back
Top Bottom