Solar Pannel ipi nzuri yenye gharama nafuu?

k-bee

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
940
1,022
Rejea mada tajwa hapo,

Nimehama kutoka mkoa X kwenda mkoa Y nimepata nyumba ambayo haina umeme na binafsi Musiki ndio tiba yangu na mfariji mkuu ukimya unanipa shida nataka kununua Solar pannel kwa ajil ya kupata huduma ya Mwanga na Matumiz mengne kama TV na Musiki.

Katika kufanya utafiti wangu nimeona katika PANNEL Kuna WATT, Ampia na Volt Mwenye ujuzi na mambo haya ANISAIDIE na pia atawasaidia na wengne watakaopitia UZI huu.

Solar pannel ya kampuni gani iko vizur mana nako kuna kampuni nying kwa sasa!!
 
Wattage (w) ya individual appliance(s) and their corresponding usage hrs per day.
💀
 
Kama maokoto unayo yakutosha.. basi kachukuwe MySol.. jamaa wana vitu originated sana. Betri zao zina Controller mojaKwaMoja na Wala huhitaji Inverter
 
Back
Top Bottom